Pre GE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
HAPO NAWALAUMU HAO HAO CHADEMA .. wameshindwa kusoma move za PoliCCM...
walitakiwa kufanya kikao online..
 
CCM Wanafanya watakavyo ipo siku nao watakuwa Wapinzani
Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.

Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.

Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.
 
Kadiri unavyozidi kujua vitu vingi in details kuhusu Tanzania ndivyo kichwa kinavyozidi kuuma

Wale wasiojua kabisa hawana habari wala hawajali kwa hiyo hawana stress, wameamua kuishi kama vichaa wanaosubiri jua lizame wafumbe macho.

Ukiishi kama kichaa Tanzania utakuwa salama
 
Jeshi la Polisi Professional linapokea oda kutoka kwa DC ambaye ni Kada wa Chama???
Katiba yetu ni mbovu sana aisee
muhalifu yeyote hata akijificha nyuma dosari na kasoro za katiba ashughulikiwe tu kuepuka usumbufu na uvunjifu wa amani...

na maeneo mengine ndio maana katiba hufutwa au kusitishwa matumizi kwasabb ya ujambazi kama hao waliokamatwa huko, wanalazimisha kufanya fujo 🐒
 
Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.

Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.

Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.
Bi Faiza punguza chuki huo ni uchafu wa roho and since nimeamua kuwa Muislam safi nimetokea kukuheshimu sana lakini una chuki na ubaguzi sana
 
Haya bhana sijui ni nini kinachokufanya uamini mwenzako ni Muhalifu kwa sababu ya utofauti wa itikadi?
 
Polisi acheni vyama vya upinzani vifanye siasa
 
Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.

Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.

Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.

Eti wanasema Hastings kamuzu MBOWE president NGWASI OMUYAYA, yaani rais wa milele ndiyo CHADEMA. Akifa yeye ndiyo na CDM itakufa.

😛
 
Ila aibu sana.
Kama mimi mwananchi wa kawaida Naona Aibu hao viongozi wa CCm wa najisikiaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…