Sasa wewe kilamba mavi wa Mama tuambie huyo Mbowe alifuata nini Ikulu ?Kwa hiyo ilikuwa ni kosa kwa Mbowe kuitikia wito wa Rais wa nchi.
Hakuna hoja hapo. Wajumbe kazi yenu ni moja tu kuyaondoa mazombi ndani ya chama chenu tarehe 21.
Nani kasema ni kosa Mbowe kuitikia wito wa rais we nyumbu?Kwa hiyo ilikuwa ni kosa kwa Mbowe kuitikia wito wa Rais wa nchi.
Hakuna hoja hapo. Wajumbe kazi yenu ni moja tu kuyaondoa mazombi ndani ya chama chenu tarehe 21.
Unaona ni sahihi kweli?Kwa hiyo ilikuwa ni kosa kwa Mbowe kuitikia wito wa Rais wa nchi.
Hakuna hoja hapo. Wajumbe kazi yenu ni moja tu kuyaondoa mazombi ndani ya chama chenu tarehe 21.
π€£ π€£ π€£Kuitwa itwa Ikulu kuna faida huwa autoki mtupu bila akaunti kutuna.Hasa kwa mtu muhimu kama Mbowe.
Kwani aliachiliwa akiwa Wapi? ππKwa hiyo ilikuwa ni kosa kwa Mbowe kuitikia wito wa Rais wa nchi.
Hakuna hoja hapo. Wajumbe kazi yenu ni moja tu kuyaondoa mazombi ndani ya chama chenu tarehe 21.
Jela hakufai jamani, jela labda kwa mtu jasiri kwelikweli. Mbowe alionja madhila yakukaa jela akaone bora tu asalimu amriView attachment 3203344
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha kushangaza hawakumuona na baadaye walishituka kumuona akiwa ikulu na Rais Samia. Tundu Lissu anasema baada ya Msigwa kuhoji imekuaje ameenda ikulu bila kuwafahamisha viongozi wengine na nini walichozungumza Mbowe aliaanza kumuona Msigwa kama adui na kushughulika naye hali iliyompelekea kuondoka CHADEMA.
Amesema hayo alipokuwa anahojiwa na Clouds TV
Jaman hivi ata kama ni wewe deal ya hela na washikaji unaanza na lipi hapo?View attachment 3203344
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha kushangaza hawakumuona na baadaye walishituka kumuona akiwa ikulu na Rais Samia. Tundu Lissu anasema baada ya Msigwa kuhoji imekuaje ameenda ikulu bila kuwafahamisha viongozi wengine na nini walichozungumza Mbowe aliaanza kumuona Msigwa kama adui na kushughulika naye hali iliyompelekea kuondoka CHADEMA.
Amesema hayo alipokuwa anahojiwa na Clouds TV
Dawa ni kuondoa haya mazombi ndani ya CDM.Sasa wewe kilamba mavi wa Mama tuambie huyo Mbowe alifuata nini Ikulu ?
Hatari kweli kweli ...View attachment 3203344
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha kushangaza hawakumuona na baadaye walishituka kumuona akiwa ikulu na Rais Samia. Tundu Lissu anasema baada ya Msigwa kuhoji imekuaje ameenda ikulu bila kuwafahamisha viongozi wengine na nini walichozungumza Mbowe aliaanza kumuona Msigwa kama adui na kushughulika naye hali iliyompelekea kuondoka CHADEMA.
Amesema hayo alipokuwa anahojiwa na Clouds TV
Kwa nini huyo Msigwa na hao viherehere wengine walienda Kisutu tu siku huyo Mbowe anaachiwa huru na sio siku za nyuma wakati Mbowe bado hajaachiwa huru miezi yote 8 huko jela. Huo ni unafiki pasee. Halafu ni nani alishawahi kuitwa ikulu akakataa kwenda? Acheni nongwa za kijingaView attachment 3203344