Lissu: Msiniache ukonga pekee yangu nadoda, mje kuniona
Karibuni Ukonga'
-
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea
Karibuni Ukonga' -Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea