Lissu,
Wewe ni msomi na unajua uchaguzi hakukuwa na mshindi bali ilikuwa ni pande mbili ambazo wewe ulimpita mwenzako wa 31 votes almost.
Sisi tunaona ni muda sasa wa ushindi, mtafute Mbowe na timu yake mje na kitu kipya ambacho Watanganyika wanataka kukisikia ambacho mkikileta hata kiwete atatembea, kiziwi atasikia hotuba ya Lissu, asiye na kazi atasikia sauti ya jabari Mbowe...
Watanzania hawa hawana haja ya nani mshindi, wao wanataka ukombozi wa Tanganyika yao, wasomi wengi saana watajiunga na nyie katika vuguvugu hilo. Trust me...muda si mrefu Taifa hili mnakwenda kulikomboa.
Ushauri tu, muwe tayari kupokea mtiti toka CCM.
Best wishes.