Pre GE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.

Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================

Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Lissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.

Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
 
Basi chukua fomu wewe ugombee.
Mbowe kafanya nini kwa miaka 21 zaidi ya kuirudisha nyuma cdm?
Kwa sasa cdm sio tu kwamba haikui bali inarudi nyuma kwa kasi kubwa
Ili kuiokoa na kifo,ni lazima Mbowe aondoke zije fikra mpya
 
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.

Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================

Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!
 
Mbowe anajutaa Hao watu wote alitaka awatoe abakie na Boni kyepe na Ntobi 😀😀😀😀😀 halafu arudishe Covid wake yaani Mboe haamini anaondolewa dukani kwake hivi hivi!!!
 
Sasa je. CHADEMA wawazie kwenye ubunge baadhi ya majimbo na level za serikali za mitaa.
Serikali za mitaa mlipowaengua wagombea wao kwa 95%?
Ndoto za wajinga hizi, wanafanya kampeni na harakati za wazi za kusafisha chama chao majuha mnasema hawawezi kuchukua uongozi wa nchi. Hao wezi wa CCM wana nini cha ajabu?

Hamtaki tume huru, hamtaki katiba mpya itakayotoa haki kwa kila mtu kushiriki siasa kwa uhuru, kwenye uchaguzi mnapora hadi mchakato wa uchaguzi. Kweli kuwa CCM lazima uwe pumbavu, mjinga au mnufaika.
 
Lissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.

Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
Ni mawazo yako ila ni ya kiuendawazimu hukemei upumbavu na njama na hila za kijinga za Mbowe na team yake, ila unaona anayekemea upumbavu huu ndio liability?

Wewe kama umeithibitisha toa kweli yako kupinga, rushwa na njama kama hizo zina ushahidi wa kimazingira, Lissu, Lema, Wenje Msigwa wote watakuwa ni liability kwa reasoning yako. Ila Mbowe na genge lake wanaofanya njama kuwafukuza hawa ndio mtaji?
Pathetic reasoning
 
Serikali za mitaa mlipowaengua wagombea wao kwa 95%?
Ndoto za wajinga hizi, wanafanya kampeni na harakati za wazi za kusafisha chama chao majuha mnasema hawawezi kuchukua uongozi wa nchi. Hao wezi wa CCM wana nini cha ajabu?

Hamtaki tume huru, hamtaki katiba mpya itakayotoa haki kwa kila mtu kushiriki siasa kwa uhuru, kwenye uchaguzi mnapora hadi mchakato wa uchaguzi. Kweli kuwa CCM lazima uwe pumbavu, mjinga au mnafaika.
Haya boss.
 
Lissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.

Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
Lissu sio mjinga kama wewe. PUMBAFU
 
Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!
Wewe jipige kifuani mara tatu ujiite "mimi ni juha "
2015 Lissu alikuwa ni chief whip bungeni.
2016 alikuwa ni rais wa TLS chama cha wanasheria TLS wasomi, siyo wajinga kama wewe.
2020 alikuwa ni mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Wewe una sifa gani?
 
Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!
Mtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Kama mnadhimu mkuu wa upinzani bungeni, Mh. Lissu mara nyingi alikuwa akimpa spika Makinda tuition kuhusu sheria na kanuni za bunge huku akimkumbusha wajibu wake kama spika.
 
Back
Top Bottom