Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
The bad is back. Ubaya ubwela kitaalamu😁Huu ndio ubaya ubwela.
BAMPA 2 BAMPA ndivyo linavyosemeka gari la kaka kwenye kioo cha mbele.Lissu akaona amfuate huko huko kwenye Uenyekiti 😆😆😆
Kanisa moja takatifu la mitumeWenje kaiua kabisa Chadema 🐼
Sasa je. CHADEMA wawazie kwenye ubunge baadhi ya majimbo na level za serikali za mitaa.Hawajawahi kuwa tayari kuichukua nchi
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
Basi chukua fomu wewe ugombee.Lissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.
Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
Ngoja tuonee...
Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
Uliambiwa kuwa wananchi ndio wanaamu kwenye chaguzi za Tanzania?Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
Eti shangwe? Linganisha na alivyoingia Lissu, kama Mbowe na team yake wameshindwa kusoma alama za nyakati basi akili zao hazina akili
Mbona mbowe haija changamka sana
Serikali za mitaa mlipowaengua wagombea wao kwa 95%?Sasa je. CHADEMA wawazie kwenye ubunge baadhi ya majimbo na level za serikali za mitaa.
Ni mawazo yako ila ni ya kiuendawazimu hukemei upumbavu na njama na hila za kijinga za Mbowe na team yake, ila unaona anayekemea upumbavu huu ndio liability?Lissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.
Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
Haya boss.Serikali za mitaa mlipowaengua wagombea wao kwa 95%?
Ndoto za wajinga hizi, wanafanya kampeni na harakati za wazi za kusafisha chama chao majuha mnasema hawawezi kuchukua uongozi wa nchi. Hao wezi wa CCM wana nini cha ajabu?
Hamtaki tume huru, hamtaki katiba mpya itakayotoa haki kwa kila mtu kushiriki siasa kwa uhuru, kwenye uchaguzi mnapora hadi mchakato wa uchaguzi. Kweli kuwa CCM lazima uwe pumbavu, mjinga au mnafaika.
Lissu sio mjinga kama wewe. PUMBAFULissu apunguze kuongea mambo menhi ambayo hawezi kuyatolea ushahidi. Mara nyingi akipata taarifa huwa anaitoa bila kutafakari na sometimes bila kuithibitisha. Hiyo ndiyo weakness yake kubwa.
Kiukweli, Lissu ni kete ya kuendea kwenye uchaguzi ila for long term kama kiongozi ni liability kwa Chadema.
Wewe jipige kifuani mara tatu ujiite "mimi ni juha "Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!
Mtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.Lissu HANA SIFA hata ya kuwa Balozi wa Nyumba Kumi CCM!