Pre GE2025 Lissu na CHADEMA Plan B ni ipi ikiwa wananchi hawataingia barabarani kudai mabadiliko ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siyo lazima kuingia barabarani! Kwa mfano wananchi wakipikwa vizuri wakaamua kugoma kwenda kwenye vituo vya kupiga kura,(ingawa wapo chawa wa CCM lazima watakaojitokeza kupiga kura) mission itakuwa imefanikiwa kuzuia uchaguzi usifanyike.
Mpaka sasa asilimia kubwa ya wananchi wengi hawaendi kupiga kura kwa sababu ya kukataa tamaa.
 
Ndio nimeuliza hapo Mkuu, unadhani watanzania wako tayari kunyanyua mguu? If not kuna mpango gani? Lazima uangalie pande zote... na kwa nature ya watanzania mizani inadondokea pabaya
Kwa njaa inayowakabili sasa hivi wananchi wa Tanzania, haiwezekani kubaki nyumbani
 
Ndio nimeuliza hapo Mkuu, unadhani watanzania wako tayari kunyanyua mguu? If not kuna mpango gani? Lazima uangalie pande zote... na kwa nature ya watanzania mizani inadondokea pabaya
... kama watanzania hawaoni umuhimu wa kudai kwa nguvu maana yake ni MUDA HAUJAFIKA!
 
View: https://youtu.be/eW_eC53wBmU?si=cZch2UHcCxWiFCka
Msikilize kwanza kabla haujamhukumu,alipendekeza nini kifanyike
 
View: https://youtu.be/eW_eC53wBmU?si=cZch2UHcCxWiFCka
Msikilize kwanza kabla haujamhukumu,alipendekeza nini kifanyike
Mkuu shukrani kwa video, asante.

Kwanza kabisa wewe unaamini Magufuli hakuyajua hayo yote na hakujua ugumu wa kujiondoa MIGA na angefanywa nini kwa kujiondoa?

Je, Lissu anaweza kujiondoa MIGA?

Swali langu ni je wao hawajui ikiwa wanatuibia? Yani wao ni watoto kiasi gani wafanye kubeba Makinikia(ukumbuke huu ni mchanga wenye madini) na kwenda kufanyia Proccessing kwenye nchi zao?

Na nina imani mkataba hauwaruhusu wao kwenda kufanyia processing kwao!

Je, mtu anayevunja mkataba anapaswa kufanywa nini?

Hakuna mahali Lissu anasema kuwa mkataba umevunjwa, zaidi kusema tunapigwa, na haelezi mtu anayevunja mkataba anafanywa nini?

Ushahidi si ulikuwepo!
 
Amesema kabla ya kuvunja mikataba ya Kwa wawekezaji inatakiwa kujiondoa kwanza kwenye "ndoa" za kimataifa,nchi na nchi kisha ndani ya nchi yetu.
Kumbuka TAL ni mwanasheria...
 
Kwani maandamano ni machafuko? Au unataka kupotosha? Naona unataka maandamano ya kusifia viongozi tu, lakini hutaki maandamano ya kudai haki inayoporwa.

Kuhusu Lisu kusema tutashitakiwa MIGA, alikuwa sahihi maana mikataba mingi iliingiwa na viongozi wetu, hivyo alisema itumike njia nzuri kukabiliana na hilo. Na ukweli umedhihirika na sasa tunalipishwa kwa kuvunja mikataba ile kimabavu. Je unaweza kusema ni hatua gani walichukuliwa viongozi wetu walioongia mikataba ile ya kihuni? Usije kiupotoshaji boss.
 
Magufuli ndio alipaswa kufungua kesi kwa sheria za madini kuvunjwa. Au yeye hakuwa anaamini mkondo wa sheria? Uliwahi kumuona Magufuli akiongelea mikataba mibovu ya madini akiwa waziri, au ni lazima uwe rais kwanza ndio uhoji wizi? Mbona Lisu alikuwa anahoji muda wote bila kusubiri kuwa rais?
 
Hakuna plan B. No reform no election. Watu waingie au wasiingie na kukaa nyumbani yote powa tu. Kama wakilazimisha na watu wengi kutokupiga kura hivyo pia ni sawa
 
We ni poyoyo km kawaida yako. Lisu ndio kaburi ls Chadema suburi siku ya mazishi. Kibaraka hajawahi kuwa na jema ila kutimiza malengo ya mabwana zake
 
Ni wewe bwege ndio utaitolea kenya mfano, watanzania wenye akili hatuna la kujifunza kwa majinga km wakenya
 
Kama watu ni wajinga waende kwenye chaguzi ambazo wanajua kabisa kura hata hazihesabiwi matokeo yanatungwa tu na usalama na Polisi basi Watanzania wenyewe wabaki na ujinga wao. Lakini Chadema wana angalia hali halisi. No reform no election.
 
Kwani si kila mwaka watu wanajitokeza kupiga kura huku wakijua fika haya ndio mazingia? Kama wote mnaotaka mabadiliko mkisusa nani ataleta hayo mabadiliko?
 
Ni wewe bwege ndio utaitolea kenya mfano, watanzania wenye akili hatuna la kujifunza kwa majinga km wakenya
Huna cha kuchangia unapita kimya tu na kuficha hizi aibu ndogo ndogo
 
We ni poyoyo km kawaida yako. Lisu ndio kaburi ls Chadema suburi siku ya mazishi. Kibaraka hajawahi kuwa na jema ila kutimiza malengo ya mabwana zake
Chawa bana, ukiona umezidiwa we ni matusi tu Lissu shikiria hapo hapo, wanakufa kwa kihoro huku
 
Hakuna plan B. No reform no election. Watu waingie au wasiingie na kukaa nyumbani yote powa tu. Kama wakilazimisha na watu wengi kutokupiga kura hivyo pia ni sawa
Kwa namna hii kazi si itakuwa rahisi kwa CCM, watakuwa na wao tu pamoja na vyama vyao 13 waendeleze utesi
 
Watale wasitake wataingia barabarani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…