Pre GE2025 Lissu na CHADEMA Plan B ni ipi ikiwa wananchi hawataingia barabarani kudai mabadiliko ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siyo lazima kuingia barabarani! Kwa mfano wananchi wakipikwa vizuri wakaamua kugoma kwenda kwenye vituo vya kupiga kura,(ingawa wapo chawa wa CCM lazima watakaojitokeza kupiga kura) mission itakuwa imefanikiwa kuzuia uchaguzi usifanyike.
Mpaka sasa asilimia kubwa ya wananchi wengi hawaendi kupiga kura kwa sababu ya kukataa tamaa.
 
Ndio nimeuliza hapo Mkuu, unadhani watanzania wako tayari kunyanyua mguu? If not kuna mpango gani? Lazima uangalie pande zote... na kwa nature ya watanzania mizani inadondokea pabaya
Kwa njaa inayowakabili sasa hivi wananchi wa Tanzania, haiwezekani kubaki nyumbani
 
Ndio nimeuliza hapo Mkuu, unadhani watanzania wako tayari kunyanyua mguu? If not kuna mpango gani? Lazima uangalie pande zote... na kwa nature ya watanzania mizani inadondokea pabaya
... kama watanzania hawaoni umuhimu wa kudai kwa nguvu maana yake ni MUDA HAUJAFIKA!
 
Mkuu kama nakumbuka hizo ndege zilikamatwa kutokana na madeni na sio suala la wawekezaji.

Pia Lissu atasemaje tutashtakiwa yeye hapo si alikuwa akiside na wawekezaji?

Kwa mtu anayeipenda nchi yake atasema hawa wawekezaji wamekosea ila njia hii haifai hii ndio iko sahihi.

Ni sawa na mimi nishadadie maandamano saivi wakati najua mwisho wa maandamano ni uharibifu, sababu nimeshayashuhudia!

Na huko marekani kwa Luther King Jr, watu weusi wamefanikiwa wapi?

Wewe kwenye hata makampuni makubwa huko marekani unawaona watu weusi?

View: https://youtu.be/eW_eC53wBmU?si=cZch2UHcCxWiFCka

Msikilize kwanza kabla haujamhukumu,alipendekeza nini kifanyike
 
Mkuu shukrani kwa video, asante.

Kwanza kabisa wewe unaamini Magufuli hakuyajua hayo yote na hakujua ugumu wa kujiondoa MIGA na angefanywa nini kwa kujiondoa?

Je, Lissu anaweza kujiondoa MIGA?

Swali langu ni je wao hawajui ikiwa wanatuibia? Yani wao ni watoto kiasi gani wafanye kubeba Makinikia(ukumbuke huu ni mchanga wenye madini) na kwenda kufanyia Proccessing kwenye nchi zao?

Na nina imani mkataba hauwaruhusu wao kwenda kufanyia processing kwao!

Je, mtu anayevunja mkataba anapaswa kufanywa nini?

Hakuna mahali Lissu anasema kuwa mkataba umevunjwa, zaidi kusema tunapigwa, na haelezi mtu anayevunja mkataba anafanywa nini?

Ushahidi si ulikuwepo!
 
Amesema kabla ya kuvunja mikataba ya Kwa wawekezaji inatakiwa kujiondoa kwanza kwenye "ndoa" za kimataifa,nchi na nchi kisha ndani ya nchi yetu.
Kumbuka TAL ni mwanasheria...
 
Kwanza kabisa mimi napinga namna yoyote ya maandamano kwa sababu hata mimi mwaka 2009/2010 nilikuwepo huko NMC Arusha wakati Dokta Slaa ni moto kweli, na nimeshuhudia mwenyewe vyombo vya ulinzi vikitawanya watu kwa mabomu ya machozi na hata kuna vifo vilitokea(hivyo sikushuhudia).

Maandamano yanayosemwa hapo yako karibu sana na vita.

Na ni kwanini tuingie katika vita katika nchi hii aliyotupa Mungu?

Kwa faida gani? CCM ina matatizo lakini nikuhakikishie Hakuna muujiza wa CHADEMA au chama gani sijui.

Hivi kwa mfano Lissu aliposimama na kusema kuwa tutashitakiwa MIGA, kisa ya Hayati Magufuli alikuwa akifanya dhidi ya wawekezaji, na ni kweli wawekezaji walikuwa wanakosea!

Je, nini tafsiri ya hiyo kauli ya Lissu?
Hivi wewe unaweza kumtetea mgeni anayevunja sheria dhidi ya ndugu yako ambaye anataka kumweka katika mstari mgeni anayevunja sheria?

Mbinu zooote za maandamano zimeshatumika, na hazikusaidia, atleast akili ya maridhiano ingeweza kuleta matokeo mazuri.

Kuandamana huko anakodai Lissu ni nini basi?
"kuandamana ni sawa na kuiharibu nyumba uliyoijenga kwa mikono yako ukidhani hasara ni ya Serikali"
Kwani maandamano ni machafuko? Au unataka kupotosha? Naona unataka maandamano ya kusifia viongozi tu, lakini hutaki maandamano ya kudai haki inayoporwa.

Kuhusu Lisu kusema tutashitakiwa MIGA, alikuwa sahihi maana mikataba mingi iliingiwa na viongozi wetu, hivyo alisema itumike njia nzuri kukabiliana na hilo. Na ukweli umedhihirika na sasa tunalipishwa kwa kuvunja mikataba ile kimabavu. Je unaweza kusema ni hatua gani walichukuliwa viongozi wetu walioongia mikataba ile ya kihuni? Usije kiupotoshaji boss.
 
Mkuu shukrani kwa video, asante.

Kwanza kabisa wewe unaamini Magufuli hakuyajua hayo yote na hakujua ugumu wa kujiondoa MIGA na angefanywa nini kwa kujiondoa?

Je, Lissu anaweza kujiondoa MIGA?

Swali langu ni je wao hawajui ikiwa wanatuibia? Yani wao ni watoto kiasi gani wafanye kubeba Makinikia(ukumbuke huu ni mchanga wenye madini) na kwenda kufanyia Proccessing kwenye nchi zao?

Na nina imani mkataba hauwaruhusu wao kwenda kufanyia processing kwao!

Je, mtu anayevunja mkataba anapaswa kufanywa nini?

Hakuna mahali Lissu anasema kuwa mkataba umevunjwa, zaidi kusema tunapigwa, na haelezi mtu anayevunja mkataba anafanywa nini?

Ushahidi si ulikuwepo!
Magufuli ndio alipaswa kufungua kesi kwa sheria za madini kuvunjwa. Au yeye hakuwa anaamini mkondo wa sheria? Uliwahi kumuona Magufuli akiongelea mikataba mibovu ya madini akiwa waziri, au ni lazima uwe rais kwanza ndio uhoji wizi? Mbona Lisu alikuwa anahoji muda wote bila kusubiri kuwa rais?
 
Wakuu,

CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good.

Kuweka mambo sawa Lissu na CHADEMA ni muhimu kukata mzizi wa fitina kutoka kwenye katiba ili kutoka hapo msingi (uchaguzi) uwe imara kuweza kuhumili vishindo vya wanaokuja juu yake. Swali muhimu ni je, wananchi wapo tayari?

Ni jambo moja watu kushangilia na kuona wamepata mkombozi na ni jingine kubeba yale anayoyaamini na kuyafanyia kazi. Sio kumkatisha tamaa Lissu na CHADEMA lakini wanaona wanachofanya sasa inatosha kuwafanya watanzania wasimame kidete kuyataka mabadiliko hayo?

Mimi naona wengi hawapo tayari, siyo kwamba hawaelewi kile Lissu au CHADEMA wanahubiri, hapana, wanawaelewa vizuri lakini hawapo tayari kunyanyua mguu na kuanza kuchukua hatua. Na hili ni kwasababu bado wabongo hawajapigika vizuri, bado hawajaonja joto ya jiwe kufikia hatua ambayo hawana njia nyingine ya ku survive.

Wakigeuka hivi serikali/CCM inatoa kitu kidogo wanatulia, kelele zikikolea sana unaona ajira za walimu zinashushwa kundi moja linapiga kimya, wanabaki wachache inakuwa haina maana tena, hata sauti zao hazina athari yoyote. Baadhi watapigia kelele huduma mbaya za afya mara utaona kuna misaada ya uongo na kweli inapelekwa sehemu yanageuka mapambio tena, yaani fulani ana huruma kweli, na harakati zinaishia hapo.

Tunaona wasanii wetu hapa kila kukicha kuwa chawa na kutetea matumbo yao, tunawalia kooni weee alkini atakuja mwenye team yake atakwambia mi huniambii kitu kwa fulani, kama hamumpendi ni nyie.... mwishowe tunaendelea vile vile kwenye mzunguko wa kutumiwa, wanalipwa milions kupumbumbaza watu wakati fedha hizo zingekuwa zinatumika kuboresha huduma zinazozorota na kuchechemea.

Tunatoleana mifano ya Wakenya kila mara na jinsi walivyo wamoja kupigania haki... tunachokikosa kwetu ni hiko, hatujapigika kisawasawa kuelewa thamani yetu, kuelewa thamani ya kile tunachostahili, nguvu yetu na nini tunatakiwa kufanya kuhakikisha kila anayepata nafasi anawajali wananchi na kuhakikisha kuna huduma bora.

Mna mpango mwingine ikiwa wananchi hawatanyanyua miguu na kuchukua hatua ya kwanza?

Hakuna plan B. No reform no election. Watu waingie au wasiingie na kukaa nyumbani yote powa tu. Kama wakilazimisha na watu wengi kutokupiga kura hivyo pia ni sawa
 
We ni poyoyo km kawaida yako. Lisu ndio kaburi ls Chadema suburi siku ya mazishi. Kibaraka hajawahi kuwa na jema ila kutimiza malengo ya mabwana zake
 
Ni wewe bwege ndio utaitolea kenya mfano, watanzania wenye akili hatuna la kujifunza kwa majinga km wakenya
 
Kama watu ni wajinga waende kwenye chaguzi ambazo wanajua kabisa kura hata hazihesabiwi matokeo yanatungwa tu na usalama na Polisi basi Watanzania wenyewe wabaki na ujinga wao. Lakini Chadema wana angalia hali halisi. No reform no election.
 
Kwani si kila mwaka watu wanajitokeza kupiga kura huku wakijua fika haya ndio mazingia? Kama wote mnaotaka mabadiliko mkisusa nani ataleta hayo mabadiliko?
 
We ni poyoyo km kawaida yako. Lisu ndio kaburi ls Chadema suburi siku ya mazishi. Kibaraka hajawahi kuwa na jema ila kutimiza malengo ya mabwana zake
Chawa bana, ukiona umezidiwa we ni matusi tu :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Lissu shikiria hapo hapo, wanakufa kwa kihoro huku:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKWlaugh:
 
Hakuna plan B. No reform no election. Watu waingie au wasiingie na kukaa nyumbani yote powa tu. Kama wakilazimisha na watu wengi kutokupiga kura hivyo pia ni sawa
Kwa namna hii kazi si itakuwa rahisi kwa CCM, watakuwa na wao tu pamoja na vyama vyao 13 waendeleze utesi
 
Wakuu,

CHADEMA imeamsha matumaini ya Watanzania hasa baada ya Lissu kupiga krosi moja matata na kuwa Mwenyekiti Taifa. Watanzania walioonesha kuchoshwa na uchawa, ubadhilifu wa mali za umma na mazonge mengine yanayotokea nchini wameanza kupata matumaini huenda mambo yatabadilika for good.

Kuweka mambo sawa Lissu na CHADEMA ni muhimu kukata mzizi wa fitina kutoka kwenye katiba ili kutoka hapo msingi (uchaguzi) uwe imara kuweza kuhumili vishindo vya wanaokuja juu yake. Swali muhimu ni je, wananchi wapo tayari?

Ni jambo moja watu kushangilia na kuona wamepata mkombozi na ni jingine kubeba yale anayoyaamini na kuyafanyia kazi. Sio kumkatisha tamaa Lissu na CHADEMA lakini wanaona wanachofanya sasa inatosha kuwafanya watanzania wasimame kidete kuyataka mabadiliko hayo?

Mimi naona wengi hawapo tayari, siyo kwamba hawaelewi kile Lissu au CHADEMA wanahubiri, hapana, wanawaelewa vizuri lakini hawapo tayari kunyanyua mguu na kuanza kuchukua hatua. Na hili ni kwasababu bado wabongo hawajapigika vizuri, bado hawajaonja joto ya jiwe kufikia hatua ambayo hawana njia nyingine ya ku survive.

Wakigeuka hivi serikali/CCM inatoa kitu kidogo wanatulia, kelele zikikolea sana unaona ajira za walimu zinashushwa kundi moja linapiga kimya, wanabaki wachache inakuwa haina maana tena, hata sauti zao hazina athari yoyote. Baadhi watapigia kelele huduma mbaya za afya mara utaona kuna misaada ya uongo na kweli inapelekwa sehemu yanageuka mapambio tena, yaani fulani ana huruma kweli, na harakati zinaishia hapo.

Tunaona wasanii wetu hapa kila kukicha kuwa chawa na kutetea matumbo yao, tunawalia kooni weee alkini atakuja mwenye team yake atakwambia mi huniambii kitu kwa fulani, kama hamumpendi ni nyie.... mwishowe tunaendelea vile vile kwenye mzunguko wa kutumiwa, wanalipwa milions kupumbumbaza watu wakati fedha hizo zingekuwa zinatumika kuboresha huduma zinazozorota na kuchechemea.

Tunatoleana mifano ya Wakenya kila mara na jinsi walivyo wamoja kupigania haki... tunachokikosa kwetu ni hiko, hatujapigika kisawasawa kuelewa thamani yetu, kuelewa thamani ya kile tunachostahili, nguvu yetu na nini tunatakiwa kufanya kuhakikisha kila anayepata nafasi anawajali wananchi na kuhakikisha kuna huduma bora.

Mna mpango mwingine ikiwa wananchi hawatanyanyua miguu na kuchukua hatua ya kwanza?
Watale wasitake wataingia barabarani tu
 
Back
Top Bottom