Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Katibu mkuu wa CCM na anayejiita mchungaji ambaye amehama CHADEMA na kujiunga na CCM kisha kuanza kuishambulia CHADEMA wameanza kumfanyia LIssu na CHADEMA dhihaka, dharau na kejeli kwa kujifanya wanamchangia Lissu kile walichokiita kutwngeneza gari lake.
Mimi namshauri Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau hii. Haiwezekani waliokuumiza ndio wajifanye wema kwako leo baada ya kukunyanyasa na kukunyima hali zao. Michango yao waachie wao wenyewe kama inachangwa na kuja kwa jina la chama chao. Wewe pokea michango ya wanachadema, wapenzi na watu binafsi na taasisi nyingine lakini usikubali ionekane eti CCM wamekuchangia tena wakiwa na Msigwa msaliti mkubwa.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea