Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Sikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma Gang kama nyie ni wanaume tokeni CCM muunde chama chenye huo upinzani wa kweli, sio kujificha kwenye ID fake,Tanzania haina wapinzani wa kweli.
Waliopo ni hao kina Zitto, lissu wanaolilia mafao yao.
Ukisikia watu wanasema hakuna demokrasia maana yake wanataka na wao wapewe haki ya kufisadi nchi.
Zito akiwa mwenyekiti wa PAC alikua anahongwa na mashirika ya umma, sasa walichokua wanaoigia kelele ni vitu kama hivyo.
Hapa ni kuomba hiki kizazi cha upinzani kina Mbowe, Zitto, Lisu, Lipumba nk kitoweke tutengeneze kizazi kipya. Ila kwa hiki hapana.
Wewe mchepuko wa mzilankende achana kabisa na Chadema msemee tu huyo marehemu wako
Ushauri mzuri sana,hawa jamaa wamekaa kichawi chawi sana,roho mbaya kama yule mungu wao aliyeko motoniSukuma Gang kama nyie ni wanaume tokeni CCM muunde chama chenye huo upinzani wa kweli, sio kujificha kwenye ID fake,