Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.
Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu wawafungulie kesi na wanyimwe dhamana.
Ingekuwa inawezekana kuongoza mapambano ya kidemokrasia ya kudai mageuzi wakiwa nje ya nchi, ingekuwa bora zaidi, ila hilo haliwezekani na propaganda zingekuwa nyingi sana.
CHADEMA lazima nao wawe na mpango wa namna gani wanaweza kukabiliana na hujuma za aina hii iwapo zitatokea(wawaandae wafuasi wao kisaikoljia na pia waandae mbinu za kupambana na hali hiyo).
CHADEMA wasi-rush kwenye hii struggle bila kujipanga kitaifa na kimataifa juu ya namna ya kukabiliana na hujuma za aina hiyo.