Pre GE2025 Lissu na Heche wanaweza kutengenezewa kesi na kuwekwa ndani mpaka uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 upite

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yes inawezekana kwasababu hawana akili na utashi wa kuingoza chadema... Wanadhan kutukana kuongea hovyo na kuropoka ndio siasa... Tulidhan chadema itakuja kufa kwasababu ya hujuma za chama tawala ila kumbe chadema inakufa kwasababu ya upuuzi wao wenyew... Idiots
 
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.

Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu wawafungulie kesi na wanyimwe dhamana.

Ingekuwa inawezekana kuongoza mapambano ya kidemokrasia ya kudai mageuzi wakiwa nje ya nchi, ingekuwa bora zaidi, ila hilo haliwezekani na propaganda zingekuwa nyingi sana.

CHADEMA lazima nao wawe na mpango wa namna gani wanaweza kukabiliana na hujuma za aina hii iwapo zitatokea(wawaandae wafuasi wao kisaikoljia na pia waandae mbinu za kupambana na hali hiyo).

CHADEMA wasi-rush kwenye hii struggle bila kujipanga kitaifa na kimataifa juu ya namna ya kukabiliana na hujuma za aina hiyo.
Naiona Tanzania kama Congo miaka michache ijayo kuna makundi ya kigaidi yataibuka na vita vitakuwa vikali
 
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.

Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu wawafungulie kesi na wanyimwe dhamana.

Ingekuwa inawezekana kuongoza mapambano ya kidemokrasia ya kudai mageuzi wakiwa nje ya nchi, ingekuwa bora zaidi, ila hilo haliwezekani na propaganda zingekuwa nyingi sana.

CHADEMA lazima nao wawe na mpango wa namna gani wanaweza kukabiliana na hujuma za aina hii iwapo zitatokea(wawaandae wafuasi wao kisaikoljia na pia waandae mbinu za kupambana na hali hiyo).

CHADEMA wasi-rush kwenye hii struggle bila kujipanga kitaifa na kimataifa juu ya namna ya kukabiliana na hujuma za aina hiyo.
Sio rahisi hvo
 
Hakuna kitu kama usilete uzushi wako!
 
Ukiogopa kutengenezewa kesi, kudhalilishwa, kulala ndani, kufilisiwa huwezi kabisa kufanya ama kuwa kiongozi wa siasa za upinzani Africa

Siasa za upinzani kwa Africa ni vita, uwe tayari kwa lolote lile. Ni kujitoa maisha yako kwa kweli na ndiyo maana watu kama hawa wanahitaji supoort kubwa sana toka kwa wananchi.
 
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.

Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu wawafungulie kesi na wanyimwe dhamana.

Ingekuwa inawezekana kuongoza mapambano ya kidemokrasia ya kudai mageuzi wakiwa nje ya nchi, ingekuwa bora zaidi, ila hilo haliwezekani na propaganda zingekuwa nyingi sana.

CHADEMA lazima nao wawe na mpango wa namna gani wanaweza kukabiliana na hujuma za aina hii iwapo zitatokea(wawaandae wafuasi wao kisaikoljia na pia waandae mbinu za kupambana na hali hiyo).

CHADEMA wasi-rush kwenye hii struggle bila kujipanga kitaifa na kimataifa juu ya namna ya kukabiliana na hujuma za aina hiyo.
sio kirahisi rahisi hivyo kwa mtu ambaye ni mashuhuri na ana support kuliko Raisi wa nchi. Watatuletea vurugu tu. Hivi kwanini tume huru inakuwa kitu cha kufunguna na kuuwana kama kweli wanasiasa wanafanya kazi kwa manufaa ya watu
 
Kama shambulio la Lisu liliwezekana na akatoboa basi kuwekwa kizuizini sio ajabu kabisa!

Ulishawahi kushambuliwa hata na panga tu mwilini?!
 
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.

Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu wawafungulie kesi na wanyimwe dhamana.

Ingekuwa inawezekana kuongoza mapambano ya kidemokrasia ya kudai mageuzi wakiwa nje ya nchi, ingekuwa bora zaidi, ila hilo haliwezekani na propaganda zingekuwa nyingi sana.

CHADEMA lazima nao wawe na mpango wa namna gani wanaweza kukabiliana na hujuma za aina hii iwapo zitatokea(wawaandae wafuasi wao kisaikoljia na pia waandae mbinu za kupambana na hali hiyo).

CHADEMA wasi-rush kwenye hii struggle bila kujipanga kitaifa na kimataifa juu ya namna ya kukabiliana na hujuma za aina hiyo.
Lissu ndo mwamba wa kesi zote na mwanasheria mkuu wa Tanzania napo sema lissu ni mwanasheria mkuu wa Tanzania nadhani unanielewa.

I am mean mzee wa kushinda kesi mzee wa kuzipangua kesi, Kwa magufuli walimshindwa mpaka wakaona wampige risasi lakini napo Bado wakamshindwa,

Ndo ije kuwa Kwa huyu bibi kizimkazi, bi kizimkazi mlaini Kwa lissu kama unakunywa maji, hawezani Kwa lissu watagonga mwamba afu wataumia wenyewe.
 
alisema confrontation....mshikemshike
 
usiandike utotot. Kibao yuko wapi? Soka yuko wapi? usiandike ushabki wa kitoto
 
Nashauri Vita ipiganwe kuanzia nje kuja ndani..wapite kwa Mabeberu wote wakasilibe haswa waje wamalizie ndani kwa makongamano, maandamano na migomo baridi..

Wahusishe Viongozi wa dini,NGOs, Waandishi wa habari shababi na Wapenda Mageuzi wote...ikiwapendeza wanunue runinga/ redio ...

Wanaweza kujaribu kuinunua Star tv n Radio Free Africa maana Dialo ni kama mtoto yatima kwa sasa..ha haa haaaa ( jokes wakuu)
 
Back
Top Bottom