Lissu na Magufuli sio watoto wa mjini. Hawa walikuja mjini kwa ajili ya shule

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.

Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.

Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.

Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .

Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.

Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.

Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.

Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .

Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.

Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
 
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote. Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM. Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi. Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI . Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut. Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui. Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali. Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni . Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli. Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
wasomi wengi wa kibongobongo wanachelewesha gurudumu la maendeleo kwa sababu ya kuendeshwa na mambo ya RED TAPE hata kwa mambo yanayohitaji short cut.
Magufuli ni baba wa shortcut. angesema azingatie mambo ya RED TAPE hata zile bombadier zisingenunuliwa
 
hii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.
 
Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..
 
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.

Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.

Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.

Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .

Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.

Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.

Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.

Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .

Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.

Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Washamba waliletwa mjini na Nyerere kwa kampeni maalum ya kanisa. Wasichokijua pamoja na shule zao lkn kwa watoto wa mjini hawa wa kiswahili, watakaa tu
 
Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..

Unahukika?
 
hii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.
Tafiti ndizo nguzo ya mafanikio ktk maamuzi magumu.
 
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.

Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.

Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.

Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .

Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.

Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.

Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.

Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .

Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.

Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Hivi mtoto wa mjini ndo akoje
Kuwa tapeli na ujanja ujanja na usela mavi
Kwa sasa Lissu ndo mtu pekee ambaye anafahamika zaidi duniani kuliko hata Tanzania Yenyewe

Au ulitaka kila mtu azaliwe DAR?
 
hii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.
Sahihi
 
Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..
Tangu muanze kusema tunaelekea Zimbabwe hatufiki tu?
Nani anatukwamisha kwenye hiyo safari yetu.
 
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.

Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.

Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.

Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .

Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.

Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.

Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.

Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .

Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.

Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Najuta kupoteza muda wangu kusoma huu upuuzi
 
Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..
Lioneni hili zombie, halina hata haya
 
Back
Top Bottom