Lissu na Magufuli sio watoto wa mjini. Hawa walikuja mjini kwa ajili ya shule

Lissu na Magufuli sio watoto wa mjini. Hawa walikuja mjini kwa ajili ya shule

Kuna watu wamezaliwa kijijini wana maisha mazuri sana kuliko mamilioni ya wanaoishi mijini.

Asilimia 90% ya wanaoishi mijini wanaishi maisha magumu sana. Tena sana na hatarishi kuliko wanaoishi vijijini.

Kuhusu ujanja.
Ni kweli kwa sehemu watu waliozaliwa mijiji wanaweza kuwa wanajua mambo mengi lakini hiyo ungeihesabu nyakati za zamani sana kabla ya utandawazi.

Kwenye huu utandawazi, mchawi ni simu na laptop na bundle tuu.
 
Washamba waliletwa mjini na Nyerere kwa kampeni maalum ya kanisa. Wasichokijua pamoja na shule zao lkn kwa watoto wa mjini hawa wa kiswahili, watakaa tu

Watoto wa mjini mda wao umeisha tunza hii comment kila jambo Lina mwanzo na mwisho
 
Hivi mtoto wa mjini ndo akoje
Kuwa tapeli na ujanja ujanja na usela mavi
Kwa sasa Lissu ndo mtu pekee ambaye anafahamika zaidi duniani kuliko hata Tanzania Yenyewe

Au ulitaka kila mtu azaliwe DAR?

Ndo maana ni kasema watoto wa mjini mda wao umeisha
 
Kuna watu wamezaliwa kijijini wana maisha mazuri sana kuliko mamilioni ya wanaoishi mijini.

Asilimia 90% ya wanaoishi mijini wanaishi maisha magumu sana. Tena sana na hatarishi kuliko wanaoishi vijijini.

Kuhusu ujanja.
Ni kweli kwa sehemu watu waliozaliwa mijiji wanaweza kuwa wanajua mambo mengi lakini hiyo ungeihesabu nyakati za zamani sana kabla ya utandawazi.

Kwenye huu utandawazi, mchawi ni simu na laptop na bundle tuu.

Alafu watoto wa mjini mara zote hawajanyooka watoto wa mjini wengi wanaishi kwa dhuluma japokua sio wote sasa wamekutana na mvunja nazi kwa Ugoko
 
Watoto wa mjini mda wao umeisha tunza hii comment kila jambo Lina mwanzo na mwisho
Umewakuta mjini halafu useme muda wao umeisha!
Washamba either warudi kwao au waishi mjini kwa akili kubwa
 
Sema yoote lkn mjini lazima mje kwa adabu. Otherwise mtaishia kuonyesha vyeti vya shule tu
Siku nchi ikikombolewa Samia na watoto wake akimbilie Kwa wajomba zake omani maana kitakachompata ni zaidi ya alivyofanyiwa Samwel Doe wa Liberia
 
Tangu muanze kusema tunaelekea Zimbabwe hatufiki tu?
Nani anatukwamisha kwenye hiyo safari yetu.
Kwamba Zimbabwe ilifikia hapo ilipo Kwa siku moja, nyie wapigwa miti ni wapumbavu sana hujui economic crisis ilianza mwaka 2003 baada ya Mugabe kunyang'anya mashamba. Settlers lakin tremendous drop ya uchumi wa Zimbabwe walianza kuiona mwaka 2008 sasa nyie wapigwa miti nikiwambia ni wapumbavu mnabisha
 
sera za kukandamiza upinzani nchini zilianza tangu wakati wa Magufuli, hapa kama zako hazijathiriwa na shahawa unazolamba utaelewa kwamba hadi sasa sera hizo zimefikisha miaka 10. kwa projection yako na kuitumia Zimbabwe kama reference impacts zilitakiwa zianze kuonekana. isivyo bahati mambo hayaendi kwa namna mnavyo wish. Bad luck
 
We Dar hapa ndio unapaona mjini!. Dar ni mjini kwako kwa wengine ni pori kama mapori mengine.
 
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.

Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.

Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.

Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .

Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.

Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.

Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.

Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .

Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.

Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Lisu angekubali kuwa mwanasheria mkuu wa serikali inawezekana Jiwe angemlipa pesa yoyote anayoitaka
 
Lisu angekubali kuwa mwanasheria mkuu wa serikali inawezekana Jiwe angemlipa pesa yoyote anayoitaka

Mwanasheria mkuu wa serikali yuko chini ya waziri wa sheria na katiba je Lissu angekubali hapo kua chini waziri Lissu labda kua Jaji mkuu
 
Back
Top Bottom