Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.
Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.
Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.
Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .
Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.
Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.
Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.
Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .
Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.
Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.