wasomi wengi wa kibongobongo wanachelewesha gurudumu la maendeleo kwa sababu ya kuendeshwa na mambo ya RED TAPE hata kwa mambo yanayohitaji short cut.Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote. Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM. Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi. Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI . Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut. Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui. Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali. Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni . Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli. Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
hii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.wasomi wengi wa kibongobongo wanachelewesha gurudumu la maendeleo kwa sababu ya kuendeshwa na mambo ya RED TAPE hata kwa mambo yanayohitaji short cut.
Magufuli ni baba wa shortcut. angesema azingatie mambo ya RED TAPE hata zile bombadier zisingenunuliwa
Sema yoote lkn mjini lazima mje kwa adabu. Otherwise mtaishia kuonyesha vyeti vya shule tuWanaojiita watoto wa mjini wapuuzi tu wakata mauno na walamba lips
Washamba waliletwa mjini na Nyerere kwa kampeni maalum ya kanisa. Wasichokijua pamoja na shule zao lkn kwa watoto wa mjini hawa wa kiswahili, watakaa tuLissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.
Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.
Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.
Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .
Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.
Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.
Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.
Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .
Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.
Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..
Tafiti ndizo nguzo ya mafanikio ktk maamuzi magumu.hii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.
Hivi mtoto wa mjini ndo akojeLissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.
Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.
Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.
Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .
Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.
Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.
Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.
Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .
Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.
Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Sahihihii inatokana na Demokrasia kwenye baadhi ya mataifa inaludisha maendeleo nyuma, kuna muda inahitaji kujizima data uwe na kaudikteta ili maendeleo yasongembele ili mradi uwe na dhamira ya dhati kwa wananchi na taifa kwa ujumla ili baadaye dhamira yako ionekane...Ukiwa mkuu lazima uwe na njia zako binafsi baada ya kupitia njia zote..Mapungufu hayawezi kukosekana lakini yawe na impact ndogo sana.
Tangu muanze kusema tunaelekea Zimbabwe hatufiki tu?Kiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...
Huyu mwenye exposure Western Countries kwao CCM si lolote japo ni kwa ku force na kiburi Cha Madaraka..Lakini uelekeo wetu hasa Kiuchumi ni Kwenye ile Zimbabwe ya Mugabe...Hizo mbinu na ujanja wanaofikiri CCM wanao eti Tanzania ni Taifa huru...ki uhalisia hawana..kila kitu.sioni zilipo silaha za kupigana Vita ya Kiuchumi na ghiriba zake..
Najuta kupoteza muda wangu kusoma huu upuuziLissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.
Hakuna mwenye mashaka na Ufaulu wa Lissu kuhusu shule vile vile Magufuli hawa walikuja mjini kwa akili zao ndo ziliwaleta Dar wote kusoma UDSM.
Hawa wote wametokea maisha ya vijijini wanajua ugumu wa maisha ya wananchi wa vijijini ulivyo ndo maana mmjoa alikua na udhubutu wa kubadilisha maisha ya wananchi maskini kwa speed maana alikulia maisha ya shida mpaka kujiita Rais wa wanyonge maana alijua shida za wananchi.
Huyu mwingine ni mpenda HAKI anajua palipo na HAKI amani utawala maendeleo upatikana bila kutumia nguvu naweza kusema huyu ni Rais wa HAKI .
Magufuli alivyoondoka r.i.p watoto wa mjini walijua sasa watapumua wakasahau kuna mrugaluga mmoja nae sio mtoto wa mjini atawakaba koo yeye alifaulu kwa HAKI akaja kusoma UDSM kiufupi maisha yake sio ya kupita short cut.
Tuje kwa hawa watoto wa mjini wakina KJ lwakina Mbowe hawa ni watoto wa mjini hawa ni watu fursa hawajui umaskini nini hawajahi kuishi na umaskini kabisa matatizo ya kwenda Hospital dawa zipo alafu wanakwambia kanunue kwenye pharmacy hawayajui.
Hawa ni wazee wa short cut matatizo ya wananchi kwao sio tatizo hawa ni wazee wa pesa kwanza matatizo ya wananchi baadae wazee wa 10% kila mradi wa serikali.
Hawa shule zao za hapa na pale ufaulu wao wa darasani tia maji tia maji. Hawa ndo Polepole alikua anawaita wahuni .
Bahati mbaya sana watu walichelewa kufahamu Mbowe kua ni mwanamtandao wakina KJ. Lissu hakujua au alijua kwa kuchelewa akatumika dhidi ya Magufuli.
Sasa safari hii wamekutana na mrugaluga mwenye Exposure na mwenye ushawishi kwenye western country sasa tusubiri mrugaluga wa kwanza hakua na ushawishi kivile kwenye nchi za watu. Sasa wamezoea kumeza safari huu mfupa umekwama kooni kumeza hawezi kuutapika hawewezi.
Lioneni hili zombie, halina hata hayaKiburi si Maungwana...Dunia Iko kasi sana na Adui wa Nchi hii ni CCM tu...