Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Mbowe anaua kile chama kabisa
Lissu hali Rushwa inajulikana sasa watu walionunuliwa hawawezi kukaa na Lisu wanamuona sio mwenzao.

Mbowe pia anahisi chama ni mali yake binafsi na amekua akiondoa kila mwanasiasa mzuri anzia wakina said Arfi mpaka wakina zitto wengine akina chacha wangwe wote hao waliumizwa na mbowe.Shida ni mbowe na atazama na hicho chama saccos chake

Fikiria lissu..heche na msigwa wanapoamua kuondoka mbowe atapewa kura na nani hizo anazosema awe Rais.? Yaani jamaa kumbe hamna kitu kabisa .
 
Chadema with Mbowe will never go anywhere kwani jamaa ni mla ruzuku tu kwa manufaa yake mwenyewe na serikali inajuwa hivyo ila wako kimya kwa sababu anawafaidisha kwenye upigaji kura
 
Tatizo la Chadema ni Mbowe, jamaa anawasaliti wenziwe kwa kuwafanya mataahira huku akila ruzuku za chama
 
wewe mwanamke au mwanaume,mana kitendo Cha tamshi lako WIVU huo umevuka mpaka
mbona ni rahisi tu gentleman?

kwani wewe ukiwa na maoni na mtazamo tofauti na wangu kuhusu hoja mahususi mezani kuna ubaya au tatizo gana, kuliko kuonyesha dhana ya ubaguzi wa kijinsia, mihemko na makasiriko pasina hoja kwenye mjadala muhimu kama huu?πŸ’
 
Tatizo la Chadema ni Mbowe, jamaa anawasaliti wenziwe kwa kuwafanya mataahira huku akila ruzuku za chama
yawezekana ni kweli gentleman,

lakini, unadhani akitoka yeye pekee hilo tatizo litaisha? mie nadhani vita yake na watakao mrithi haitaisha na matokeo yake matatizo yanayojitokeza sasa yanaendelea tu,

ni muhimu waondoke wote na mwenzake chadema patatulia na pataimarika zaidi πŸ’
 
umejieleza vizuri mno gentleman lakini ni kwa upande moja,

vip akibanduka Mbowe, do you think vita na migawanyiko hii ya chini kwa chini dhidi yao itaisha? because let's face it,

kila moja wao anamuona mwenzie ni tatizo na kila moja ana wafuasi wake, kama ambavyo hata wewe una jipambanua na kuonyesha kabisa uko upande wa nani,

do you think akibanduka moja miongoni mwao kasumba ya kuhujumiana itaisha au ndio itakolea vizuri?

kwamba wakati nilikua kiongozi ulinisumbua, na sasa nimetoka uongozini nitakushikisha adabu nikiwa nje, hautaongoza chama kwa amani, I will finance my troops within the party to sabotage each and every plan of your leadership πŸ’

unasemaje kuhusu hilo ama haulioni?
 
Chadema with Mbowe will never go anywhere kwani jamaa ni mla ruzuku tu kwa manufaa yake mwenyewe na serikali inajuwa hivyo ila wako kimya kwa sababu anawafaidisha kwenye upigaji kura
mla mlungula wa mabwenyenye ya magharibi, je tunaweza muitaje au kwasabb ni dollar hiyo hainashida πŸ’
 
Tatizo la Chadema ni Mbowe, jamaa anawasaliti wenziwe kwa kuwafanya mataahira huku akila ruzuku za chama
Ruzuku inayotolewa kwa Chadema ni hela ya umma serikali ya ccm ndio yenye dhamana ya kusimamia hela hizo . Unamaanisha serikali imemuogopa huyo Mbowe mpaka anatumia hela za chama kwa matumizi binafsi na CAG ambaye ni mteule wa mwenyekiti wa ccm ameshindwa kutoa pendekezo serikalini ya kumchukulia hatua kwa sababu ya ubadhirifu huo!
 
Nchi ngum sana hii , leo ndo umekua mshauri wa Chadema , kikifa si ndo nafuu ya ccm hapa shida ipo wapi?
 
Hata kidogo! CDM msifanye makosa hayo kamwe.
 
Na huo ndo ukweli wenyewe. Waendelee kua wabunge lkn wapishe Vijana kwenye nafasi za kiuongozi.

Lasivyo chama kitakufa kama aliko kua maalim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…