kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sijabagua ,ila unawivu sana unalalamika kuhusu mbowe badala ya katiba ya chama KATIBAyao inaruhusumbona ni rahisi tu gentleman?
kwani wewe ukiwa na maoni na mtazamo tofauti na wangu kuhusu hoja mahususi mezani kuna ubaya au tatizo gana, kuliko kuonyesha dhana ya ubaguzi wa kijinsia, mihemko na makasiriko pasina hoja kwenye mjadala muhimu kama huu?π
si uanzishe uzi mahususi sasa kwa unaloona muhimu zaidi kwa upande wako gentleman πSijabagua ,ila unawivu sana unalalamika kuhusu mbowe badala ya katiba ya chama KATIBAyao inaruhusu
Hakuna tatizo maana ni haki yako ila kwa sie wapenda mabadiliko bado tunaona ukakasi sana na ushauri wako, ila kama ni kwa nia nzuri Mungu awe juu yako , japo ni imani yangu ushauri wako kwa chadema hautoki ndani ya moyo wako mkuuactually,
ni kiri tu kwamba ni kweli nimekua mshauri wa chadema kwa kipindi kirefu sana, lakini ieleweke wazi ni kipindi kilichopita ...
hata hivyo,
hiyo hainiondolei haki na wajibu wangu kama mtanzania, manasiasa na mwanadiplomasia mbobevu kutoa maoni au mtazamo wangu juu ya mambo ya kisiasa nionavyo yanavyokwenda chadema na katika vyama vinginevyo vya kisiasa,
Je, kuna tatizo lolote hapo muungwana π
binafsi sina tatizo na washupaza shingo wakipuuza ukweli ukweli huu wa kisiasa,Outsider wanajua Sana Mambo ya ndani ya chadema! Kwanini mi ccm inaumia Sana Mbowe na lisu kuendelea kuongoza chadema?
Jibu hao ndio tishio kwa mi ccm, hawanunuliki, hawaingeki, mi ccm bila polisi na bunduki, ni walaiiiini kama mrenda, yaani ukigusa tu imoooooo!
Kwakua hukujua kwamba SHIDA sio mbowe bali KATIBAyao ...tafuta KATIBAyao isome ujehapa na hoja nje nahapo itakuwa WIVU tusi uanzishe uzi mahususi sasa kwa unaloona muhimu zaidi kwa upande wako gentleman π
mie sina haja na Mbowe wala Lisu kibinafsi kwasabb ni ndugu zangu kabisaa na ni waTanzania wenzangu...
hoja, maoni na mtazamo wangu ni juu ya mustakabali wenye shaka, ustawi, uhai umoja na demokrasia tata ndani ya Chadema kama Taasisi kwa siku zijazo, ikiwa hawa waungwana wanaona kipasua na kukigawa chama wanaendelea kuhudumu kwenye nafasi walio nazo hivi sasa π
ni muhimu ukajikita zaidi huko π
Ngoja kwanza tuwang'oe wakoloni CCM.....CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
kwahiyo ushauri wangu kwa chadema unatoka nje ya moyo wangu, right?π€£Hakuna tatizo maana ni haki yako ila kwa sie wapenda mabadiliko bado tunaona ukakasi sana na ushauri wako, ila kama ni kwa nia nzuri Mungu awe juu yako , japo ni imani yangu ushauri wako kwa chadema hautoki ndani ya moyo wako mkuu
sina wivu na Mbowe wala Lisu, katiba ya Chadema ni nzuri sana haina tatizo kabisaa...Kwakua hukujua kwamba SHIDA sio mbowe bali KATIBAyao ...tafuta KATIBAyao isome ujehapa na hoja nje nahapo itakuwa WIVU tu
Ujinga ni mzigo, kadiri mnavyoizungumzia CHADEMA, na ma giant hao, mnaipa zaidi political mileage.CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.
Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.
Soma Pia:
CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta
Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!
Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.
Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.
CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.
Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.
unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho?
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mkuu nilikua nashauri ili ccm iweze kuwa kwenye viwango napendekezasina wivu na Mbowe wala Lisu, katiba ya Chadema ni nzuri sana haina tatizo kabisaa...
kinacho imomonyoa, imega, ipasua na kuigawa chadema sio katiba ni vita miongni mwa hao mafahali wawili,
nje ya hao waungwana chadema is very vibrant and powerful opposition political party in the country π
wabobezi gani wengine wanao izungumzia chadema kitaalamu zaidi yangu gentleman na kuipa millage?πUjinga ni mzigo, kadiri mnavyoizungumzia CHADEMA, na ma giant hao, mnaipa zaidi political mileage.
Vipi mbona hamzungumzii wengine??
Hashimu Rungwe Sipunda?? MZEE wa Ubwabwa!??
Vipi Ado Shaibu wa ACT wazalendo??
Mnajua hawana impact, manawatqjabakina mbowe na CHADEMA kwakuwa wanawanyima usingizi.
Wewe Mboga mboga kutoa ushauri kwa CHADEMA ni sawa na SHETANI IBILISI KUMPA USHAURI YESU π€π€π€π π
andikia uzi mahususi sasa ili tuone namna tunavyoweza kuboresha mapendekezo yako na huenda kushauri mbadala wa maoni na mtazamo wako vizuri zaidi πMkuu nilikua nashauri ili ccm iweze kuwa kwenye viwango napendekeza
1. Katika mchakato wa kumpata Mgombea urais watu warusiwe kuchukua form sio biashara ya kuchapa form moja
2. Mwenyekiti wa sasa asigombee bali wachuane wengine .unaonaje wazo hili kama mwanaccm
Mbona nimeeleza mkuu wapi kuna shida mpaka kuandika uzi mahususiandikia uzi mahususi sasa ili tuone namna tunavyoweza kuboresha mapendekezo yako na huenda kushauri mbadala wa maoni na mtazamo wako vizuri zaidi π
ni jambo muhimu, kubwa na la kipekee sana na lenye manufaa na maslahi makubwa kwa umma,Mbona nimeeleza mkuu wapi kuna shida mpaka kuandika uzi mahususi
Sio kila mabadiliko ni mazuri. Mbowe Lissu daima!sio makosa,
ni mageuzi muafaka na mabadiliko muhimu sana kwa mustakabali na ustawi wa umoja na demokrasia ndani ya chama chao π