Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

mbona ni rahisi tu gentleman?

kwani wewe ukiwa na maoni na mtazamo tofauti na wangu kuhusu hoja mahususi mezani kuna ubaya au tatizo gana, kuliko kuonyesha dhana ya ubaguzi wa kijinsia, mihemko na makasiriko pasina hoja kwenye mjadala muhimu kama huu?🐒
Sijabagua ,ila unawivu sana unalalamika kuhusu mbowe badala ya katiba ya chama KATIBAyao inaruhusu
 
si uanzishe uzi mahususi sasa kwa unaloona muhimu zaidi kwa upande wako gentleman 🐒

mie sina haja na Mbowe wala Lisu kibinafsi kwasabb ni ndugu zangu kabisaa na ni waTanzania wenzangu...

hoja, maoni na mtazamo wangu ni juu ya mustakabali wenye shaka, ustawi, uhai umoja na demokrasia tata ndani ya Chadema kama Taasisi kwa siku zijazo, ikiwa hawa waungwana wanaona kipasua na kukigawa chama wanaendelea kuhudumu kwenye nafasi walio nazo hivi sasa 🐒

ni muhimu ukajikita zaidi huko 🐒
 
actually,
ni kiri tu kwamba ni kweli nimekua mshauri wa chadema kwa kipindi kirefu sana, lakini ieleweke wazi ni kipindi kilichopita ...

hata hivyo,
hiyo hainiondolei haki na wajibu wangu kama mtanzania, manasiasa na mwanadiplomasia mbobevu kutoa maoni au mtazamo wangu juu ya mambo ya kisiasa nionavyo yanavyokwenda chadema na katika vyama vinginevyo vya kisiasa,

Je, kuna tatizo lolote hapo muungwana 🐒
Hakuna tatizo maana ni haki yako ila kwa sie wapenda mabadiliko bado tunaona ukakasi sana na ushauri wako, ila kama ni kwa nia nzuri Mungu awe juu yako , japo ni imani yangu ushauri wako kwa chadema hautoki ndani ya moyo wako mkuu
 
Outsider wanajua Sana Mambo ya ndani ya chadema! Kwanini mi ccm inaumia Sana Mbowe na lisu kuendelea kuongoza chadema?
Jibu hao ndio tishio kwa mi ccm, hawanunuliki, hawaingeki, mi ccm bila polisi na bunduki, ni walaiiiini kama mrenda, yaani ukigusa tu imoooooo!
binafsi sina tatizo na washupaza shingo wakipuuza ukweli ukweli huu wa kisiasa,

nimeubainisha ukweli huu kwa nia njema kama mtaalamu mbobevu wa masuala na ya kisiasa na diplomasia na sidaiwi na mtu chochote 🐒

upende, usipende ni uamuzi wako 🐒
 
si uanzishe uzi mahususi sasa kwa unaloona muhimu zaidi kwa upande wako gentleman 🐒

mie sina haja na Mbowe wala Lisu kibinafsi kwasabb ni ndugu zangu kabisaa na ni waTanzania wenzangu...

hoja, maoni na mtazamo wangu ni juu ya mustakabali wenye shaka, ustawi, uhai umoja na demokrasia tata ndani ya Chadema kama Taasisi kwa siku zijazo, ikiwa hawa waungwana wanaona kipasua na kukigawa chama wanaendelea kuhudumu kwenye nafasi walio nazo hivi sasa 🐒

ni muhimu ukajikita zaidi huko 🐒
Kwakua hukujua kwamba SHIDA sio mbowe bali KATIBAyao ...tafuta KATIBAyao isome ujehapa na hoja nje nahapo itakuwa WIVU tu
 
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.

Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.

Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.

Soma Pia:

Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.

Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.

CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.

Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.

unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho? :pulpTRAVOLTA:

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ngoja kwanza tuwang'oe wakoloni CCM.....
 
Hakuna tatizo maana ni haki yako ila kwa sie wapenda mabadiliko bado tunaona ukakasi sana na ushauri wako, ila kama ni kwa nia nzuri Mungu awe juu yako , japo ni imani yangu ushauri wako kwa chadema hautoki ndani ya moyo wako mkuu
kwahiyo ushauri wangu kwa chadema unatoka nje ya moyo wangu, right?🤣

for your information,
hayo niliyoyaeleza ni bayana yanafahamika na kujulikana vizuri sana ndani na nje ya Chadema, but nani wa kuyaframe kitaalamu na kuyaelezea?🐒

utabaini ni mimi pekee, ndie mwenye utashi, uadilifu na uwezo wa kufanya hivyo, kwasabb ni jasiri madhubuti nisie muoga kukabiliana na vuguvugu zito la kisiasa dhidi yangu kutoka kwa wazandiki wasio penda kuambia na kuelezwa ukweli 🐒
 
Kwakua hukujua kwamba SHIDA sio mbowe bali KATIBAyao ...tafuta KATIBAyao isome ujehapa na hoja nje nahapo itakuwa WIVU tu
sina wivu na Mbowe wala Lisu, katiba ya Chadema ni nzuri sana haina tatizo kabisaa...

kinacho imomonyoa, imega, ipasua na kuigawa chadema sio katiba ni vita miongni mwa hao mafahali wawili,

nje ya hao waungwana chadema is very vibrant and powerful opposition political party in the country 🐒
 
Kabisa mkuu, itapendeza zaidi wakiondoka hao aje Msigwa awe Mwenyekiti.
 
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.

Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi na wafuasi wengi zaidi ya mwingine hali inayosananisha mvutano wa ndani kwa ndani.

Mambo haya hayasemwi lakini yapo ndani ya CHADEMA, yanafukuta na yanafanyika kimya kimya na kila upande ukiogopa na kuoinea haya, aibu na wivu upande mwingine. Na miongoni mwa wanaopata tabu zaidi Kisiasa mioyoni mwao, ni wale amabao wamejizuia, wamejitenga au hawajaamua wawe upande gani kati ya upande wa Mwemyekiti au Makamu Mwenyekiti taifa.

Soma Pia:

Hawa, wamekua wapweke, wamaekua kama yatima ndani ya chama chao wenyewe, walichokijenga kwa moyo, hali na mali, na kukipigania kufa na kupona kwa muda mrefu sana. Wengi wao hivi sasa, wameshaanza kuhamia vyama vingine vya Kisiasa, na wengine wengi kwa maelfu yao wanatafakari na kujipanga kufanya hivyo hivyo, endapo mafahali hawa hawatabanduka kwenye nafasi zao au kumaliza mivutano yao ya chini kwa chini na kubadilika.

Kisiasa,hata kama aking'atuka moja wao pekee, na mwingine akabaki uongozoni, bado hali ya cold war yani vita baridi ndani ya CHADEMA na hasa miongoni mwa pande za mafahali hawa wawili kuhujumiana itaendelea CHADEMA, na kwahivyo, chama kitaendelea kuteketea na kua dhaifu zaidi kadiri siku, miezi na miaka inavyosonga.

CHADEMA inahitaji damu mpya, fikra pevu mpya, uelekeo, mawazo, mipango, maono na pumzi mpya kuimarika tena na kua na nguvu. Vinginevyo hali hii ya kutokuaminiana au kutokua na uhakika hata ya nani atakua Mgombea Uraisi wake Uchaguzi ujao, itaendelea kukigharimu, kukipasua zaidi chama hicho na kuwatia hofu Wanachama wake.

Haya ni maoni na mtazamo wangu kitaalamu juu ya Siasa za CHADEMA kwa uchache sana.

unafikiria nini kuhusu mustakabali wa baadae wa Siasa za chama hicho? :pulpTRAVOLTA:

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ujinga ni mzigo, kadiri mnavyoizungumzia CHADEMA, na ma giant hao, mnaipa zaidi political mileage.

Vipi mbona hamzungumzii wengine??

Hashimu Rungwe Sipunda?? MZEE wa Ubwabwa!??
Vipi Ado Shaibu wa ACT wazalendo??

Mnajua hawana impact, manawatqjabakina mbowe na CHADEMA kwakuwa wanawanyima usingizi.

Wewe Mboga mboga kutoa ushauri kwa CHADEMA ni sawa na SHETANI IBILISI KUMPA USHAURI YESU 🤔🤔🤔😅😅
 
sina wivu na Mbowe wala Lisu, katiba ya Chadema ni nzuri sana haina tatizo kabisaa...

kinacho imomonyoa, imega, ipasua na kuigawa chadema sio katiba ni vita miongni mwa hao mafahali wawili,

nje ya hao waungwana chadema is very vibrant and powerful opposition political party in the country 🐒
Mkuu nilikua nashauri ili ccm iweze kuwa kwenye viwango napendekeza
1. Katika mchakato wa kumpata Mgombea urais watu warusiwe kuchukua form sio biashara ya kuchapa form moja
2. Mwenyekiti wa sasa asigombee bali wachuane wengine .unaonaje wazo hili kama mwanaccm
 
Ujinga ni mzigo, kadiri mnavyoizungumzia CHADEMA, na ma giant hao, mnaipa zaidi political mileage.

Vipi mbona hamzungumzii wengine??

Hashimu Rungwe Sipunda?? MZEE wa Ubwabwa!??
Vipi Ado Shaibu wa ACT wazalendo??

Mnajua hawana impact, manawatqjabakina mbowe na CHADEMA kwakuwa wanawanyima usingizi.

Wewe Mboga mboga kutoa ushauri kwa CHADEMA ni sawa na SHETANI IBILISI KUMPA USHAURI YESU 🤔🤔🤔😅😅
wabobezi gani wengine wanao izungumzia chadema kitaalamu zaidi yangu gentleman na kuipa millage?🐒

kibobevu siwezi kukurupuka kuzungumzia chama cha siasa chochote bila kujiridhisha na ninachokusudia kukielezea kwa familia hii kubwa na muhimu ninayoiheshimu sana ya JF, bila kujali mihemko ya wachache 🐒

by the way,
kuna haraka gani kutaka kuzungumzia vyama vyote kwa pamoja? na labda hufuatilii mambo haya vizuri na kwa ukaribu maana binafsi nimezungumzia vyama kadha wa kadha...

na kama hufahamu tu ni kwamba,
uko mpango na nia ya zaid ya vyama vya siasa zaidi ya 19 nchini, vinavyokisudia kutokusimamisha wagombeaji urais na badala yake vitamuunga mkono kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan mgombea urais wa chama tawala,

sasa katika vyama 22, vyenye usajili wa kudumu, vyama vya kuzungumzia vinabaki vingap hapo ukiondoa hivyo 19?🐒

impact inabaki ndani chadema kwenyewe, lakini pia sio lazima ushauri, maoni na mtazamo wangu ukafuatwa au kuzingatiwa na chadema, wanaweza kushupaza shingo na kuumeza ukweli huo uchungu kwa kuugulia maumivu ndani kwa ndani,

Mtaalamu nasonga mbele bila mbambamba yoyote, au kuna tatizo gentleman?🐒
 
Mkuu nilikua nashauri ili ccm iweze kuwa kwenye viwango napendekeza
1. Katika mchakato wa kumpata Mgombea urais watu warusiwe kuchukua form sio biashara ya kuchapa form moja
2. Mwenyekiti wa sasa asigombee bali wachuane wengine .unaonaje wazo hili kama mwanaccm
andikia uzi mahususi sasa ili tuone namna tunavyoweza kuboresha mapendekezo yako na huenda kushauri mbadala wa maoni na mtazamo wako vizuri zaidi 🐒
 
Mbona nimeeleza mkuu wapi kuna shida mpaka kuandika uzi mahususi
ni jambo muhimu, kubwa na la kipekee sana na lenye manufaa na maslahi makubwa kwa umma,

sio vyema na haki jambo hilo likaishia kati yangu na yako tu, na kisha tukaupa kisogo mjadala mahususi mezani inayoendelea 🐒
 
Back
Top Bottom