DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naahidi kulipia gharama za studio kwa mtu atakayeyunga wimbo bora wa kudai Tanganyika na kukataa bandari kugawiwa bure kwa DPw
Pesa itatumwa mkoa wowote wa Tanzania kwa njia yoyote itakayofaa.

[emoji1690][emoji1690]
Usimsahau yule Mwana Tanga aishie nje Mipaka.
Huwa ana mashairi muruaaa sana.
 
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.

Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
Ziwe na ukweli au la, haki ya kutoa maoni ilindwe. Watawala wamejipa hati miliki ya kufanya lolote ktk nchi hii, waruhusu tupunguze hisia zetu kwa kuongea, na wanajua kelele za chura hazimzuii ngo'mbe kunywa maji.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.

Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
ZAWEZA KUWA ZA UKWELI KWAKUWA YULE BWANA ALIYENYOSHEWA BASTOLA ALISEMA MJENGONI KUWA WANAOPINGA WAKABILIWE KIKAMILIFU.
 
What happened? 😳😳😳

Screenshot_20230719_114900_Chrome.jpg
20230719_111308.jpg
 
Back
Top Bottom