Naahidi kulipia gharama za studio kwa mtu atakayeyunga wimbo bora wa kudai Tanganyika na kukataa bandari kugawiwa bure kwa DPw
Pesa itatumwa mkoa wowote wa Tanzania kwa njia yoyote itakayofaa.
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.
Ziwe na ukweli au la, haki ya kutoa maoni ilindwe. Watawala wamejipa hati miliki ya kufanya lolote ktk nchi hii, waruhusu tupunguze hisia zetu kwa kuongea, na wanajua kelele za chura hazimzuii ngo'mbe kunywa maji.
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.