Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma
2. CHADEMA (mbowe) au act wazalendo (Zitto) vimeshakula nyama ya mtu haviwezi kuacha. Ndio maana hata act wazalendo Zanzibar wameona Zitto hayupo serious wamempokonya jahazi. Kwa CHADEMA jahazi linazama kwenye mikono na mbowe
3. Kikazi Cha Sasa kimeelimika sana, mkiwa real kitawapa tuzo
4. Mwaka 2030 uchaguzi utakuwa muhimu kwenu kama mmeamua kuwa wapinzani wa kweli.
5. Mtanishukuru badae