Lissu na sera za kuifanya nchi dampo la bidhaa za nje na uchumi tegemezi wa kutupwa

Mchimwachimego

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
358
Reaction score
271
Ni wiki ya nne sasa tokea kampeni zifunguliwe tumesikia Sera nyingi za kuomba ridhaa za uongozi wa kitaifa lakini Mimi najikita kwa huyu" TUNDULISU" kwa sababu ni mshindani mkubwa wa rais wetu JPM.

Katika kutaka kuomba ridhaa hiyo amekuwa akihubiri mambo kadhaa ambayo Mimi naona anataka kuturudisha nyuma tulikotoka,amekuwa akidai kwamba endapo akichaguliwa ataruhusu uingizaji wa bidhaa kutoka nje bila vikwazo, hatoweka mageti barabarani,ataruhusu wakulima nchini wauze mazao yao kokote nje ya nchi kuliko na bei kubwa na kwa ujumla mwananchi atafanya biashara yoyote bila kubughudhiwa na sheria za uhujumu uchumi,utakatishaji pesa nk.

Nguvu iliyotumika kukomesha wizi bandarini ni kubwa kuliko anavyofikili na ndio maana mapato ya bandarini yameongezeka baada ya kuwaondoa vishoka,wezi wa vipuli na makanjanja wa pale bandarini,pia imetumika nguvu kubwa kushawishi watu waanzishe viwanda kama kile cha sukali cha bakharesa,kupanua cha viatu moshi,cha vigae pwani na vingine vingi ambavyo apo awali wamiliki wa viwanda walilalamikia utitiri wa bidhaa kutoka nje na wao wakashindwa kushindana nao kutokana na unafuu wa bidhaa hizo pia bidhaa zikiwa nyingi kutoka nje zinaua viwanda vyetu na ajila pia zinakufa kwa hiyo kuruhusu kila kitu kuingia ni kuturudisha nyuma na pia kuruhusu kila kitu kitoke ni kuturudisha nyuma wenzetu wanazalisha wa bei ndogo kwasababu wana umeme wa kutosha nani amesahau mgao wa umeme,nani amesahau kuwa Kenya ni muhujumu mkubwa wa taifa letu yeye ndiye aliyeua viwanda,shirika la ndege,bandari nk: ili sisi tuwe ni soko la bidhaa zake.

Nani amesahau kuwa soko la tanzanite lilikuwa Kenya,India na southafrica, na mengine mengi ambayo wengi tumesahau kwa kuwa mwanadamu ameumbwa kusahau ndio maana anaweza kufiwa na mtu anayempenda na ndani ya wiki moja akasahu,kwa ujumla tunaweza kusema shetani ana nguvu sana hivyo nawashauri watanzania tumchague rais wetu MAGUFULI ili amalizie miladi mingi aliyoianzisha ambayo mingi inamanufaa makubwa kiuchumi Katika taifa hili,mfano mzuri: ni hili bwawa la umeme na ahadi yake anasema anataka aondoke madarakani akiwa ametuachia megawati 10000 ambazo zitasaidia kupunguza gharama za maisha kwa sababu,umeme ndio unaotumika viwandani na sehemu nyingi za uzalishaji utakuwa wa bei nafuu na kufanya wazalishaji wa bidhaa wazalishe kwa bei nafuu na kufanya kila kitu kiwe nafuu,asanteni.
 
Je sasa hivi sio dampo? Hebu tazama hizo electronic gadgets zilizo madukani kuanzia pendrive, smartphones, flat screen hadi solar panels... achilia mbali vyakula vilivyoko supermarket...
Vinavyoingizwa ni vile tu ambavyo havizalishwi nchini.
 
Je sasa hivi sio dampo? Hebu tazama hizo electronic gadgets zilizo madukani kuanzia pendrive, smartphones, flat screen hadi solar panels... achilia mbali vyakula vilivyoko supermarket...
Lakini pia kama vinavyoingizwa ndani vipo kodi yake uongezwa ili ishindane na ile ya nchini.
 
Anachozungumza Lissu ni mazingira mazuri ya ufanyaji biashara na kazi. Je leo mkulima ana mazingira hayo ?!. Mranyakazi je ?!

Mnapotoa hoja, muwe mnavivaa viatu hivyo kwanza.
 
Je sasa hivi sio dampo? Hebu tazama hizo electronic gadgets zilizo madukani kuanzia pendrive, smartphones, flat screen hadi solar panels... achilia mbali vyakula vilivyoko supermarket...
Nyinyi ndo vilaza na nyumbu mnaoamini kua mtaishi nchi ya asali na maziwa.

Wakati upo shuleni kwenu vidudu huko,mlianza ghafla kusoma hesabu za logarithms au ulikua unaimbishwa kuhesabu moja mpaka kumi.

Hata huko unahisi tutafika tu,tumeanza na hayo uloambiwa na tunaenda.
 
Wapinzani si wa kuwaamini hao kabisaaaa,
Walisemaga nchi inaagiza kutoka nje mpaka stick,viwembe na pamba.

Sa hivi wamegeuka.
Wachumia tumbo tu hao.
 
Ukiwa kilaza vigumu Sana kuelewa Nini Lissu anasema!!

Sera zake Ni nzuri Sana Tena sanaaa
 
Ni wiki ya nne sasa tokea kampeni zifunguliwe tumesikia Sera nyingi za kuomba ridhaa za uongozi wa kitaifa lakini Mimi najikita kwa huyu" TUNDULISU" kwa sababu ni mshindani mkubwa wa rais wetu JPM.

Katika kutaka kuomba ridhaa hiyo amekuwa akihubiri mambo kadhaa ambayo Mimi naona anataka kuturudisha nyuma tulikotoka,amekuwa akidai kwamba endapo akichaguliwa ataruhusu uingizaji wa bidhaa kutoka nje bila vikwazo, hatoweka mageti barabarani,ataruhusu wakulima nchini wauze mazao yao kokote nje ya nchi kuliko na bei kubwa na kwa ujumla mwananchi atafanya biashara yoyote bila kubughudhiwa na sheria za uhujumu uchumi,utakatishaji pesa nk.

Nguvu iliyotumika kukomesha wizi bandarini ni kubwa kuliko anavyofikili na ndio maana mapato ya bandarini yameongezeka baada ya kuwaondoa vishoka,wezi wa vipuli na makanjanja wa pale bandarini,pia imetumika nguvu kubwa kushawishi watu waanzishe viwanda kama kile cha sukali cha bakharesa,kupanua cha viatu moshi,cha vigae pwani na vingine vingi ambavyo apo awali wamiliki wa viwanda walilalamikia utitiri wa bidhaa kutoka nje na wao wakashindwa kushindana nao kutokana na unafuu wa bidhaa hizo pia bidhaa zikiwa nyingi kutoka nje zinaua viwanda vyetu na ajila pia zinakufa kwa hiyo kuruhusu kila kitu kuingia ni kuturudisha nyuma na pia kuruhusu kila kitu kitoke ni kuturudisha nyuma wenzetu wanazalisha wa bei ndogo kwasababu wana umeme wa kutosha nani amesahau mgao wa umeme,nani amesahau kuwa Kenya ni muhujumu mkubwa wa taifa letu yeye ndiye aliyeua viwanda,shirika la ndege,bandari nk: ili sisi tuwe ni soko la bidhaa zake.

Nani amesahau kuwa soko la tanzanite lilikuwa Kenya,India na southafrica, na mengine mengi ambayo wengi tumesahau kwa kuwa mwanadamu ameumbwa kusahau ndio maana anaweza kufiwa na mtu anayempenda na ndani ya wiki moja akasahu,kwa ujumla tunaweza kusema shetani ana nguvu sana hivyo nawashauri watanzania tumchague rais wetu MAGUFULI ili amalizie miladi mingi aliyoianzisha ambayo mingi inamanufaa makubwa kiuchumi Katika taifa hili,mfano mzuri: ni hili bwawa la umeme na ahadi yake anasema anataka aondoke madarakani akiwa ametuachia megawati 10000 ambazo zitasaidia kupunguza gharama za maisha kwa sababu,umeme ndio unaotumika viwandani na sehemu nyingi za uzalishaji utakuwa wa bei nafuu na kufanya wazalishaji wa bidhaa wazalishe kwa bei nafuu na kufanya kila kitu kiwe nafuu,asanteni.
Ujinga uliotukuka
 
Polee sana mataga!! Hii propaganda yako imeshafeli kabla haijaanza
 
Usumhukumu wala usimsifie Rais wa sasa! Yeye ni zao la mfumo ulipo nchini kwa miaka sitini (60)sasa!!

Watanzania tujiulize kama mfumo uliopo unatufaa au au tunahitaji kuufumua na kuufuma upya!

Watanzania tuna jambo letu 28 Octoba, kuendeleza mfumo tulio nao au tuufumue tuanze na kufuma katiba mpya!!

Tafakari!
Chukua hatua 28 Octoba!!
 
Anachozungumza Lissu ni mazingira mazuri ya ufanyaji biashara na kazi. Je leo mkulima ana mazingira hayo ?!. Mranyakazi je ?!

Mnapotoa hoja, muwe mnavivaa viatu hivyo kwanza.
Hayo Mazingira Mazuri ni yapi. Atueleze ABC Zake sio anasema mazingira mazuri Halafu Basi Atuambie yeye utofauti wake Na Magufuri utkuwa ni Upo YANA HATA AKISEMA MIMI SITAMWAMINI HAHAHAHA MAANA MABEBERU NDIO WAMESHIKA REMOTE
 
Ni wiki ya nne sasa tokea kampeni zifunguliwe tumesikia Sera nyingi za kuomba ridhaa za uongozi wa kitaifa lakini Mimi najikita kwa huyu" TUNDULISU" kwa sababu ni mshindani mkubwa wa rais wetu JPM.

Katika kutaka kuomba ridhaa hiyo amekuwa akihubiri mambo kadhaa ambayo Mimi naona anataka kuturudisha nyuma tulikotoka,amekuwa akidai kwamba endapo akichaguliwa ataruhusu uingizaji wa bidhaa kutoka nje bila vikwazo, hatoweka mageti barabarani,ataruhusu wakulima nchini wauze mazao yao kokote nje ya nchi kuliko na bei kubwa na kwa ujumla mwananchi atafanya biashara yoyote bila kubughudhiwa na sheria za uhujumu uchumi,utakatishaji pesa nk.

Nguvu iliyotumika kukomesha wizi bandarini ni kubwa kuliko anavyofikili na ndio maana mapato ya bandarini yameongezeka baada ya kuwaondoa vishoka,wezi wa vipuli na makanjanja wa pale bandarini,pia imetumika nguvu kubwa kushawishi watu waanzishe viwanda kama kile cha sukali cha bakharesa,kupanua cha viatu moshi,cha vigae pwani na vingine vingi ambavyo apo awali wamiliki wa viwanda walilalamikia utitiri wa bidhaa kutoka nje na wao wakashindwa kushindana nao kutokana na unafuu wa bidhaa hizo pia bidhaa zikiwa nyingi kutoka nje zinaua viwanda vyetu na ajila pia zinakufa kwa hiyo kuruhusu kila kitu kuingia ni kuturudisha nyuma na pia kuruhusu kila kitu kitoke ni kuturudisha nyuma wenzetu wanazalisha wa bei ndogo kwasababu wana umeme wa kutosha nani amesahau mgao wa umeme,nani amesahau kuwa Kenya ni muhujumu mkubwa wa taifa letu yeye ndiye aliyeua viwanda,shirika la ndege,bandari nk: ili sisi tuwe ni soko la bidhaa zake.

Nani amesahau kuwa soko la tanzanite lilikuwa Kenya,India na southafrica, na mengine mengi ambayo wengi tumesahau kwa kuwa mwanadamu ameumbwa kusahau ndio maana anaweza kufiwa na mtu anayempenda na ndani ya wiki moja akasahu,kwa ujumla tunaweza kusema shetani ana nguvu sana hivyo nawashauri watanzania tumchague rais wetu MAGUFULI ili amalizie miladi mingi aliyoianzisha ambayo mingi inamanufaa makubwa kiuchumi Katika taifa hili,mfano mzuri: ni hili bwawa la umeme na ahadi yake anasema anataka aondoke madarakani akiwa ametuachia megawati 10000 ambazo zitasaidia kupunguza gharama za maisha kwa sababu,umeme ndio unaotumika viwandani na sehemu nyingi za uzalishaji utakuwa wa bei nafuu na kufanya wazalishaji wa bidhaa wazalishe kwa bei nafuu na kufanya kila kitu kiwe nafuu,asanteni.

Wewe mwenyewe ni dampo kwa bidhaa na vifaa unavyo tumia, je Lissu ndo kakufanya dampo?
 
Dawa ya matatizo ya Afrika ni Elimu Bora tena Bora kabisa.Tatizo letu ni elimu hatuna elimu jamii hii.Maarifa maarifa full stop.
 
Sisi sio kisiwa hatuwezi jitenga na dunia then tuwe na maendeleo
 
Back
Top Bottom