Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Umeandika kwa maumivu makubwa maana unajua unajidanganya wewe na huyo mungu wako wa maboksi
Kweli kabisa Tl ni habari nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kwa maumivu makubwa maana unajua unajidanganya wewe na huyo mungu wako wa maboksi
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Mungu sijawahi kuaamini utendaji wake hata siku 1 maana haelewekiSorry sio mwanasiasa. Lakin kuja hapa kushtaki as if ww na Mungu mnaishi nyumba moja, umepotea.
Mungu si kikaragosi cha siasa.. haamuliwi na mtu anaamua mwenyewe.
Hakuna ajuae kesho yetu, tumuachie Mungu afanye maamuz yake.. lakin si kuwa msemaji wake.
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Kama Mungu ndiye anayejua Wewe hizo kura milioni mbili umezito wapi? Mbona unajichanganya?Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Katika medani za kivita hii inaitwa friendly firingUmeandika kwa maumivu makubwa maana unajua unajidanganya wewe na huyo mungu wako wa maboksi
Mungu hapigi kura bali anatupa busara za kuchagua kiongozi bora wa nchi hii.Sorry sio mwanasiasa. Lakin kuja hapa kushtaki as if ww na Mungu mnaishi nyumba moja, umepotea.
Mungu si kikaragosi cha siasa.. haamuliwi na mtu anaamua mwenyewe.
Hakuna ajuae kesho yetu, tumuachie Mungu afanye maamuz yake.. lakin si kuwa msemaji wake.
Pamoja mkuu!Umeandika kwa maumivu makubwa maana unajua unajidanganya wewe na huyo mungu wako wa maboksi
Siasa haitaji mtu jina!Bila shaka unamzungumzia mzee wa mbochi.
Nimesema Mungu ndie anaejua dhamira ya huyo mtu!Sorry sio mwanasiasa. Lakin kuja hapa kushtaki as if ww na Mungu mnaishi nyumba moja, umepotea.
Mungu si kikaragosi cha siasa.. haamuliwi na mtu anaamua mwenyewe.
Hakuna ajuae kesho yetu, tumuachie Mungu afanye maamuz yake.. lakin si kuwa msemaji wake.
Halafu kada mwenzako akakudhihakiNimesema Mungu ndie anaejua dhamira ya huyo mtu!
Wewe ndio umetoa tafsiri ya dhihaka ila yeye ametoa maoni yake!Halafu kada mwenzako akakudhihaki
Jr[emoji769]
Wote mmechambua vizuri, mada tulivu na fikirishi.Umeandika mengi; mengine kwa mtazamo wangu naona umekosea mengine, naona umepatia.
Mfano
Maendeleo jimboni kwake; hapa umenishangaza sana, kama mtu anaeonekana ana uelewa kama wako nae anaamini mbunge, tena wa upinzani ana jukumu la kupeleka maendeleo jimboni kwake, Lissu hakusanyi kodi.
Kwa utawala huu wa Magufuli anavyochukia wapinzani, na hasa Lissu ulitegemea hayo maendeleo jimboni kwa Lissu yapelekwe kweli?! mara ngapi tumemsikia Magufuli akisema hapeleki maendeleo kwa wapinzani? hapa naona umeyumba.
Nakubaliana nawe zaidi kwenye ajenda ya kiuchumi ya Lissu, hapa tuko pamoja, lakini hata kwenye suala la makundi kati ya Lissu na Mbowe kulikosababisha kufukuzwa Zitto, Kitila, na wenzake; hapa nakupinga kwa hoja nzuri tu, ninazo.
Mwisho kabisa, lazima ujue kazi ya Rais sio binafsi, Rais ana washauri, ana wasidizi, ni jukumu lake kuwasikiliza hao washauri ili awe Rais bora, hivyo wote mnaom-judge Lissu kwamba atakuja kuwa kama Magufuli au sio presidential material hii hoja yenu haina msingi, hakuna binadamu aliekamilika asilimia 100.
Kinachomuharibia zaidi Magufuli ameshathibitisha kwa vitendo hataki ushauri wa mtu, anafanya anayoyapenda, hivyo mpaka Lissu nae atapopewa nafasi ndio tutahakikisha kama na yeye kweli ana tabia kama za Magufuli, na anayatenda kama Magufuli; na zaidi anaogopwa na wasaidizi wake kama Magufuli, na hakuna wala hapatatokea candidate yeyote wa nafasi ya Urais nchini ambae atakuwa hana fani yoyote ili tumuamini akipewa madaraka ata-perform kwa asilimia zote kwenye kila angle.
Kusikiliza wengine ndiko kunamfanya Rais awe bora, huwezi kumhukumu mtu kabla ya kumpa nafasi ya kutenda, hili ni sawa na wanaosema wapinzani hawastahili kupewa nchi watafanya kama CCM, How! wapeni nafasi muone mapungufu yao mthibitishe, kama Lissu nae anavyostahili kupewa hiyo nafasi, msihukumu kwa hisia.
Hakuna binadamu asie na Weakness na Strengths, wote tunazo; hizi ni sawa na tabia, kila mwanadamu ana tabia zake, huwezi kupingana na hili utakuwa against nature, hivyo hakuna sababu ya kumuogopa mtu just because of that.
Kama yupo wa kuipinga hoja yangu ajitokeze; ataje sifa za Rais kuitwa "presidential material" tuzijue, halafu tuone ni Rais yupi kati ya tuliowahi kuwa nao alikuwa na hizo sifa zote, na akazitekeleza baada ya kupewa majukumu. Lazima mjue jambo moja, hata Rais kuwa mpole kupitiliza kama Kikwete, bado hakumfanyi kuwa Rais bora, zaidi ataacha wajanja wachezee rasilimali za taifa kama ilivyotokea awamu iliyopita.
"uzalendo" wao wa siku hizi.Wote mmechambua vizuri, mada tulivu na fikirishi.
Mmepingana kwa hoja na siyo ushabiki.
Bia yetu, paskali mayalla, kipara kipya, ussr hapa huwaoni. Mada hii kwao ni nzito, kama watakuja tutazamie matusi na uzalendo
Wewe kweli mataga,mmezuia mikutano sasa wawepo wapi?unaweza kuwafika wananchi kidigital karne hii
Ungemuacha tu apotee kisiasaMungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Mkuu umejitahidi hua napenda mambo kama haya na kwa kua umeanza kutumiaNiliwahi kuandika kuhusu nia ya Lisu kuutaka Urais wa Tanzania 2020. Huenda
chama chake kikampitisha 2020 badala ya Msigwa. Huyu ni msomi mzuri, ni mwanaharakati na ni mpinzani haswa haswa. Kwa sifa hizo anatosha sana kupeperusha bendera za Chadema Kwa sasa.
TWENDE SAWA
Huyu hakuwahi kushika nafasi kubwa za kiuongozi ila ni mwanasiasa mkubwa sana kwenye ukanda huu wa Africa Mashariki.. angelikuwa CCM huyu ni dhahiri angeliteuliwa kushika nafasi kubwa kabisa za Kiuongozi.
Ili nimzungumzie kwa haki kabisa Lisu nitatumia SWOT analysis ambayo itatupatia mambo makuu matatu (Strength,Weakness, na threats) hii ni kanuni ambayo haidanganyi na ambayo hutumiwa sana kupata uhalisia wa kitu kabla ya kuamua kufanya jambo. SWOT ya Lisu itaisaidia Jamii ambao ni walengwa wa huduma na nafasi anayoitaka Lisu kwa maana ya kwamba jamii itamfahamu kwa undani kabla ya kumchagua au kutikumchagua, itamsaidia yeye peke yake kujijua na itakisaidia Chama chake mwenyewe.
STRENGTH
1. Ni mzuri katika kujenga hoja, ukikutana naye kwenye hoja hasa zilizo na uelekeo wa fani yake ya Kisheria atakupoteza kabisa. Tuneshuhudia Bungeni mara nyingi akitoa somo la kutosha kuhusu kanuni za bunge na matumizi yake.
2. Akiwa kama wakili ameshinda kesi nyingi sana zake binafsi na zile alizosimamia watu wengine. Lisu ni mojawapo ya mawakili ambao wakisimamia kesi yako unakuwa na uhakika wa kushinda.
3. Ana jiamini sana katika kile anachokiamini, hata kama wengine wote watakataa kumuunga mkono yeye atapambana mwenyewe.
4. Ana ujasiri wa aina yake, Lisu sio mtu mwoga anaweza kupambana na yeyote yule bila kujali status kwenye jamii. Kwa hali ya kawaida ni vigumu kumshambulia Rais wa nchi lakini Lisu alijitoa kufanya hivyo. Ni watu wengi toka mataifa mbalimbali ambao hawawezi hiki kitu.
5. Hutimiza majukumu yake kisiasa sio kiutendaji ipasavyo, kuna wakati watu walimtilia Shaka kuwa Lisu si Mzalendo lakini kwa nature ya kazi yake ndani ya Upinzani alikuwa sahihi kutukosoa. Kilichotakiwa kufanywa kilikuwa ni kuchukua alichokuwa anakisema na kukifanyia kazi.
WEAKNESS
1. Kipingamizi cha kwanza cha lisu hana agenda ya msingi ya Kiuchumi ya kumpeleka Ikulu zaidi ya kuwa mkosoaji mkubwa. Lisu anapaswa sasa kuanza kuonyesha Plan B zake katika maswala ya kitaifa yaani kama jambo limefeli yeye kama yeye angelifanyaje.
Naamini na ndivyo ilivyo kiongozi mzuri ni yule mwenye maono yake juu ya mambo flan yaani mawazo yake binafsi na sio ya kuandikiwa (Ilani) na ndio maana hata Rais wetu kuna saa anaweka ilani Pembeni na kunyoosha kwa namna anavyoamini yeye.
Lisu anatakiwa sasa atuonyeshe nje ya Ukosoaji wake nini plan na Dira yake kwa taifa hili.
2. Tundu Lisu ni mojawapo ya wanasiasa ambao wanapatwa na jazba kwa haraka hasa pale wanapotaka kuzidiwa na hoja.
Amekuwa akitamka maeneo ambayo mara nyingi huleta ukakasi masikioni mwa watu. Mara nyingi na kiutamaduni huwa tunasema Marehemu huwa hashambuliwi lakini Lisu bila kujali aliwahi kumshambulia Mwl Nyerere kipindi cha bunge la Katiba. Kwa heshima ya Mwl Nyerere Lisu hapa alikosea.... na anapaswa kujirekebisha.
3. Udhaifu mwingine wa Lisu ni makundi na urafiki usioeleweka alio nao na mwenyekiti wa chama chake. Kwa ufahamu wa sheria alionao Lisu alishindwa kuonyesha ni wapi kina Mwigamba, Kitila na Zitto walikosea hadi akasimamie kesi zao za kufukuzwa Chadema. Lisu ana Urafiki mkubwa sana na nwenyekiti na mwenyekiti amekuwa akimtumia Lisu kwa maslahi yake binafsi kuliko kukisaidia Chama.
Kama Lisu angelisimama katikati bila kutekwa na kundi la Mwenyekiti huenda angelinusuru kina Zitto kufukuzwa na angelikuwa amekisaidia sana chama kwa kuwabakisha watu muhimu sana kwenye chama. Lisu anaonekana kama anamwogopa sana Mwenyekiti na ushauri anaompa mwenyekiti ni lazma uwe na manufaa kwa Mwenyekiti.
OPPORTUNITY
1.Lisu bado ana fursa inayomzunguka na fursa kuu ni Tukio lililomtokea. Yaani tukio la kupigwa marisasi kwake ni fursa number moja. Kwa lugha ya malkia tunasena CONFLICT has two sides one At the best it Provides an opportunity to learn and a chance for innovation. And second At the worst it destroys individual, block up families and halts production Within organisation. Kwa tafsiri isiyo rasmi Mgongano na Misuguano INA pande mbili unaweza kutumia kujijenga na unaweza kukuharibia kabisa. Kama Lisu atachanga karata zake vizuri tukio like litamjenga zaidi na limeshaanza kumjenga.
2. Fursa ya pili ni kuwa watu wenye age yake kisiasa ndani ya Chama wameanza kupotea kwa Hoja. Watu kama Mnyika walikuwa wanaweza kumletea Upinzani ndani ya Chama ila siku hizi Mnyika ni Togwa.
THREATS
1. Jimboni kwake mambo si mazuri sana, yaani kwa umaarufu alionao haulingani na maendeleo aliyoyapeleka kwenye jimbo lake. Bado jimbo lake ni mojawapo ya majimbo maskini kimiundombinu na hata kipato cha mtu mmoja mmoja. Hii inatokana na yeye kutumika mno Kitaifa na kusahau jimboni kwake. "Kuna msemo unaosema Charity begins at Home" Lisu anatakiwa afanye mambo makubwa ambayo yatafanya kila mtu Jimboni kwake amkubali na hata Singida yote.
2.Kipingamizi kikubwa cha Lisu kwa sasa ni Afya yake. Lisu anatakiwa kwa sasa apiganie zaidi Afya yake kuliko kitu kingine kile.
3. Lisu yupo kama Mwigulu Ndani ya CCM kuwa haamini kuna mawazo Productive njee ya Chama chake. Yaani yeye anaamini kila siku CCM Inakosea hii si sifa ya kiongozi mzuri.
4. Hatari nyingine kwa Lisu ni kitendo chake cha kupenda kuattack Personalities badala ya kujikita kwenye hoja za nchi hii inatakiwa iende wapi. Tuliona alivyokuwa anamkosoa Personally Rais Magufuli badala ya kukosoa Sera na kuonyesha njia. Hata juzi juzi alikuwa anaongelea kitu personally sana kuhusu Kiingereza cha Rais. Mtu anayetaka urais anatakiwa kuwaza mbali sana sio vitu vidogo kama hivyo.
5. Ukaribu unaotaka kujitokeza kati yake na Zitto, who knows Zitto katumwa? Mara nyingine tu hata Upinzani wenyewe wamekuwa wakimtuhumu Zitto kuwa haaminiki. Zitto anaweza kutumia pia yeye Lissu kama ngazi yake ya kisiasa. Kwa sasa ACT wameshalisoma gape na hata Chadema wenyewe wameshaanza Minongono kuwa Zitto hapaswi kuunda ushirika na Lissu. Kwa sasa Brand ya Lisu ni Kubwa kuliko Zitto hivyo hatujui Hesabu za Zitto zipoje. Makachero wa Chadema wanapaswa kufuatilia hili kwa umakini mkubwa.
6.Mwisho kabisa hatari aliyonayo Lisu ni CCM, sio kwamba CCM imelala kutaka kuzima ndoto za Lisu kuendelea kushine kwenye Siasa. CCM bado ina Deal naye kwa umakini mkubwa kuhakikisha Lisu hachanui zaidi ya hapo Bali anazidi kufifia kisiasa.
View attachment 1470417