Uchaguzi 2020 Lissu na Urais 2020: Fursa na Changamoto

Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!

Yule anataka hela za ruzuku yq uchaguzi

Anataka ubunge wa kuteuliwa na chama chake

Anataka attention

Ila ashapotezewa na raia, achilia mbali watawala watakavyodeal nae

Alikojua kuna haki na justice wameua ngozi yetu nyeusi

Anaelea hewani!!! Technically kapoteza sana

Ataongea maneno yote mabovu, makali, ya hasira ili mradi awe kwenye headlines.Ila hataweza kamwe kufika ikulu

Miaka 5 ijayo kwake yeye na chama chake watapotea kabisa kwenye siasa, chukua hii kma ufunuo

Tatizo sio CCM, tatizo wamw betray raia wa kawaida kabisa, wako insta, twitter na fb...hawako kwenye mioyo ya watanzania ambayo wameshuhudia hawa jamaa wakisema tusideal na madini, wakiangalia mawazo yao kwenye covid-19 na wakitamani tusipate hata mikopo tu!!!!

Loosers hawa ukweli sio hata wa kuwawazia
 
Mungu sijawahi kuaamini utendaji wake hata siku 1 maana haeleweki

kwa hiyo wataka kusema yeye ndiye aliye muweka jiwe madarakani
 
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!

Kisasi gani na kwa nani?
Mbona wasiwasi ni mwingi wa kuogopa kulipizwa kisasi?...
Hujamtendea mtu kosa, unaogopaje kisasi...?
Huo wasiwasi mlionao inaonyesha ni kweli kabisa kuna maovu mengi mno yamefanywa, hasa lile la area d!
 
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Kama Mungu ndiye anayejua Wewe hizo kura milioni mbili umezito wapi? Mbona unajichanganya?
 
Mungu ndie ajuaye dhamira yake na visasi vilivyomsonga moyoni mwake hawezi pata hata kura mil 2,atajuta na atakuwa amepotea kisiasa.
Mshaurini vizuri hatokuja kuamini!
Umeandika kwa maumivu makubwa maana unajua unajidanganya wewe na huyo mungu wako wa maboksi
Katika medani za kivita hii inaitwa friendly firing

Jr[emoji769]
 
Mungu hapigi kura bali anatupa busara za kuchagua kiongozi bora wa nchi hii.
Na tayari tunae hadi 2025!
 
Nimesema Mungu ndie anaejua dhamira ya huyo mtu!
 
Lisu ni mpango wa mungu mnaompinga mnachosha akili zenu tu. Lisu ni mteule kutoka kwa mungu siyo chadema hivyo kaeni mtulize mishono yenu hamuwezi kushindana na mungu. Namuelewa sana lisu na ndiye rais wa tanzania lisu siyo kiwango kidogo kamuulize kikwete analijua hilo
 
Wote mmechambua vizuri, mada tulivu na fikirishi.
Mmepingana kwa hoja na siyo ushabiki.
Bia yetu, paskali mayalla, kipara kipya, ussr hapa huwaoni. Mada hii kwao ni nzito, kama watakuja tutazamie matusi na uzalendo
 
"uzalendo" wao wa siku hizi.
 
Wewe kweli mataga,mmezuia mikutano sasa wawepo wapi?unaweza kuwafika wananchi kidigital karne hii

Mikutano inazuiwa kwa sababu hamtumii akiri kufikiri ila mnatumia matumbo yenu kuwaza uhakifu,
Lazima mzuiwe tu, ahkuna namna.
 
Mkuu umejitahidi hua napenda mambo kama haya na kwa kua umeanza kutumia
Iyo SWOT kwa watia next time upatapo
mda ebu njoo na uchambuzi wa MAGU
nae tuone na tulinganishe itatusaidia sa
na kuelekea october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…