THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
🚮Friends and Our Enemies,
Hatimae yametimia na yule kinara wa uchochezi aliepelekea Taifa letu kuingia kwenye majaribu,machafuko na umwagaji wa damu yuko lupango huku akilia na kusaga meno akisubiria huruma ya mahakama.
Wako wapi leo ambao walikuwa wanakushangilia mahakamani?wako wapi leo ambao walikuwa wanakuandikia waraka waraka zao za kuitisha serikali na kuishinikiza eti uachiwe bila masharti yoyote?
Wako wapi leo ambao eti walikuwa wanajiita ni watetezi wako na wapiganiaji wa haki za binadamu kwa niaba yako?
Iko wapi leo juu yako Jumuiya ya ulaya ambayo ilikua inakupigania na kuipa maagizo serikali?
Wote ambao walikuwa wanakujaza ujinga na ujasiri wa kipuuzi wameufyata mkia baada ya kutambua uhalisia wa ubaya wa kile ambacho ulikipandikiza ndani ya mioyo ya wafuasi wako uchwara na kuwachochea vijana kushiriki katika uasi na kuhujumu taifa lao kwa maslahi yako na uchu wako wa madaraka.
Kaa ukitambua Antipas Tundu ya kwamba hiyo huruma hutaipata na adhabu unayostahili kuipata kwa hakika utakutana nayo,hilo andika limeisha.
Tunarudi tena kuitaka na kuiomba mahakama na msajili wa vyama vya siasa akifutilie mbali hiko chama chao kwani bila shaka wanatumia mgongo wa chama chao kama kichaka cha kupanga na kuratibu uhaini na uvunjifu wa amani.
YOU SHALL REAP,JUST LIKE YOU SOW.
Friends and Our Enemies,

In fact,Friends and Our Enemies,

Kati ya Lissu na yule ambaye hakufuata taratibu za katiba ya chama chetu cha CCM ili ateuliwe kugombea uraisi nani ni mroho wa madaraka?Friends and Our Enemies,
Hatimae yametimia na yule kinara wa uchochezi aliepelekea Taifa letu kuingia kwenye majaribu,machafuko na umwagaji wa damu yuko lupango huku akilia na kusaga meno akisubiria huruma ya mahakama.
Wako wapi leo ambao walikuwa wanakushangilia mahakamani?wako wapi leo ambao walikuwa wanakuandikia waraka waraka zao za kuitisha serikali na kuishinikiza eti uachiwe bila masharti yoyote?
Wako wapi leo ambao eti walikuwa wanajiita ni watetezi wako na wapiganiaji wa haki za binadamu kwa niaba yako?
Iko wapi leo juu yako Jumuiya ya ulaya ambayo ilikua inakupigania na kuipa maagizo serikali?
Wote ambao walikuwa wanakujaza ujinga na ujasiri wa kipuuzi wameufyata mkia baada ya kutambua uhalisia wa ubaya wa kile ambacho ulikipandikiza ndani ya mioyo ya wafuasi wako uchwara na kuwachochea vijana kushiriki katika uasi na kuhujumu taifa lao kwa maslahi yako na uchu wako wa madaraka.
Kaa ukitambua Antipas Tundu ya kwamba hiyo huruma hutaipata na adhabu unayostahili kuipata kwa hakika utakutana nayo,hilo andika limeisha.
Tunarudi tena kuitaka na kuiomba mahakama na msajili wa vyama vya siasa akifutilie mbali hiko chama chao kwani bila shaka wanatumia mgongo wa chama chao kama kichaka cha kupanga na kuratibu uhaini na uvunjifu wa amani.
YOU SHALL REAP,JUST LIKE YOU SOW.
Hata Maduro alikuwa anajiona ni Mungu wa Venezuela hadi hapo aliponyukuliwa.Friends and Our Enemies,

Kabisa,sijaelewa kaandika kitu gani!Uzuri ni kwamba hapa JF umedharauliwa na kila mtu
Hajawahi kuelewekaKabisa,sijaelewa kaandika kitu gani!
Sio kuangalia tu kimoyomoyo unamsindikizia na m'bonge wa mtusiiKuna mada Unakutana nazo, unakosa la kucomment unabaki kuangalia tuu
Hata Maduro alikuwa anajiona ni Mungu wa Venezuela hadi hapo aliponyukuliwa.
Be very very AFRAID na zero wenu Sa100
Mnabahati pata Picha Lisu angekua nje na Heche sijui mngeweka wap sura zenu