Hili shetani punguani linalojiita BIG SHOW, siamini kama limewahi kuwa na faida yoyote katika Ulimwengu huu! Mapunguani yaliyobeba roho ya shetani kama hili BIG SHOW, kwa kweli ni aheri yasingelizaliwa, maana kuzaliwa kwao ni hasara katika Ulimwengu.
Mungu wa hekima na haki, ataendelea kusimama na kiumbe wake mtetea haki dhidi ya mashetani, maana Mungu wetu, ni Mungu wa haki. Mashetani yaliyoua watanganyika yanajulikana, Lisu hana damu ya mwanadamu yeyote mikononi mwake, yale mashetani yanayotembea na damu za watanganyika mikononi mwao, yanajulikana.
Mauaji na majitu yenye uwendawazimu yaliyobeba roho ya shetani yamepumbazwa, yanaamini kuwa yanashinda dhidi ya mtanzania mzalendo wa kiwango cha pekee, mwenye mapenzi mema kwa wanadamu wenzake, Tundu Lisu, ili yapate kuanguka kikamilifu katika wakati sahihi aliopangwa na Mungu wa haki.