Lissu na wachochezi wenzako, mtavuna mlichokipanda, lilikuwa ni suala la muda tu

Wewe ni miongoni mwa majaji,umejuaje amekutwa na hatia,au huko Ccm mmepanga hukumu yenu
 
Sasa bwana BIG SHOW si kila mtu atakufa?.

Yuko wapi Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli?.

Hizi ni struggle ni za Kawaida kwa mwanadamu, Hata Nabii Yusufu si aliwekwa Jela?
 
Wewe fala Tanzania siyo Venezuela.

Na hizo mimba zenu za chuki dhidi ya Samia safari hii mtazizaa kabla ya muda...
Samuya ni kilaza form four failure, watz walio wengi walimkataa kwamba HATOSHI kwenye urais ndio maana hawakutoka kwenda kumpigia kura oktoba 29 kila mwenye akili timamu anajua!.
 
Huo uchochezi uliuthibitisha kwenye mahakama ipi wewe kibarua wa CCM?.
 
Chawa at their best..

Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama wendawazimu...

Uzi mzima ume - exist takribani masaa 12 lakini umepata likes mbili tu kutoka kwa Chawa kipenyo wenzako wawili Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah

Nyie kina THE BIG SHOW, kweli you're too foolish and stupid...

Yaani Tundu Lissu aliwachochea Polisi, TISS na KMKM & foreigh mercenaries soldiers from Uganda, Zambia, Burundi, Rwanda, DRC & Zambia mwezi April, 2025 hizo element za uchochezi zikakaa weeeeeeee mpaka 29/10/2025, zikafungua maghala ya silaha na kuzagaa mitaani kuua raia majumbani, bar, barabarani, vijiwe vya kahawa etc..

Ndio unataka kutuambia hivyo, au siyo...???

You're too stupid, foolish and ignorant...!
 
Kama vile wa Maana!big nepi!
 
Asante kwa kuuwa 29/10/2025

Asante kwa kuandaa hukumu ya kumuuwa Lissu kabla judge hajaisoma.

Endeleeni kuuwa mpaka damu ziwakinai.
 
Badala ya kumnyonga Lissu, ningemshauri Samia amteue kuwa mshauri wake wa masuala ya kisiasa ili apate platform ya kutoa mchango wake kwenye masuala ya kidemokrasia na usawa wa fursa kwa kila mtanzania.
 
VURUGU ZILILETWA NA CCM WALIPOIBA UCHAGUZI WAO WA NDANI NA UCHAGUZI MKUU.
 
Mmemaliza msiba na eda wa bankubwa na bandogo? Au mshashiba vimpumu vya hitma?

Simba hatishwi kwa maneno ya kwnye kanga na vikao vya umbeya keshasema
Chinjeni mnasubiri drakula atoe maagizo edani?
 
Tatizo mnajiamini kupitiliza, nyie CCM hamuoni makosa yenu hata kidogo?.
 
Wewe ni mdini sana tangu zamani ulikuwa na collaboration yako na Malaria 2 na FaizaFoxy, pia mnaichukia sana CHADEMA na Tundu Lissu, sijui mnataka Tanzania iwe dola ya Kiislam chini ya CCM?

Futeni vyama vingi mnaogppa nini?
 
relax gentleman,
hizo vitu useless zikufae wewe tu gentleman. Na huna haja ya mihemko na kujipiga kifua hali ya kua uko pointless tu jukwaani.

take notes katika mambo muhimu and move on,
usisumbuke wala kupoteza wakati na vitu useless jukwaani gentleman, unless uko drived na kiburi au ujeuri useless tu cha kutokutaka kujifunza mambo mapya, kuongeza uelewa na ufahamu wako finyu juu ya mambo mbalimbali humu jukwaani

and that's upon urself gentleman 🐒
 
Mzanzibar kwenye 1&2, huku akijifanya mtanganyika asiyeipenda chadema ipo siku tu mtarudi kwenu kwa matako mbwa nyinyi
Uzanzibari hapa umeingiaje sheikh? Yanini kutukana mzanzibari kwa mada isohusu Utaifa wa Mtu?
 
Mleta mada ana akili za kukurupuka. Hivi unaona kweli kwamba kesi yenu ya kutunga inajitosheleza kumnyonga lisu? Shame on you blood ...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…