The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Sep 17, 2026 #21 King Nkondo said: Lissu ndo anazingua, anapaswa kuhakikisha mashahidi wake wamefika, kawaleta heche na mnyika kashindwaje kuwaleta hawa? Click to expand... Nafikiri mahakama imuachie kwa muda akawafuate mashahidi wake. Ila sheria bhana π€£π
King Nkondo said: Lissu ndo anazingua, anapaswa kuhakikisha mashahidi wake wamefika, kawaleta heche na mnyika kashindwaje kuwaleta hawa? Click to expand... Nafikiri mahakama imuachie kwa muda akawafuate mashahidi wake. Ila sheria bhana π€£π
P po sumbe JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 513 Reaction score 621 Sep 18, 2026 #22 Otorong'ong'o said: JK mwenyewe kipindi yupo madarakani alishawahi kusema ni bora nitoe viti 100 kwa upinzani Bungeni kulikoni Lissu kurudi Bungeni.. Click to expand... Na aliongezea bora washinde uraisi au dishi langu limeyumba?
Otorong'ong'o said: JK mwenyewe kipindi yupo madarakani alishawahi kusema ni bora nitoe viti 100 kwa upinzani Bungeni kulikoni Lissu kurudi Bungeni.. Click to expand... Na aliongezea bora washinde uraisi au dishi langu limeyumba?