Lissu ni asset au liability kwa CHADEMA?

Lissu ni asset au liability kwa CHADEMA?

Mwenzako ameshaomba po huko VOA..Sasa wewe sijui uko wapi..umevurugwa
Hayo utajua wewe,mmekalia upuuzi wakati mmeambiwa uchaguzi umeisha na mmepata kila kitu!Tekelezeni ahadi sio kutuletea upuuzi,period!
 
Mimi nilifikiri Lowasa alikuwa liability kwa CHADEMA kumbe nlikuwa najidanganya bwana!

Maana Lowasa aliwapa chadema wabunge zaidi ya 40 ila Lisu kawapa chadema mbunge mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka hapo naomba radhi kwa mheshimiwa EL.
 
Hilo genge la wahuni wote liability, including mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom