Mimi nilifikiri Lowasa alikuwa liability kwa CHADEMA kumbe nlikuwa najidanganya bwana!
Maana Lowasa aliwapa chadema wabunge zaidi ya 40 ila Lisu kawapa chadema mbunge mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka hapo naomba radhi kwa mheshimiwa EL.