Lissu ni Dikteta, anamshawishi Rais Samia kutozingatia Utawala Bora na kuingilia Mihimili mingine

Rais kufuta kesi sio kuingilia uhuru wa mahakama maana alieshtaki ni DPP ambae ni mteule wa Rais.

Rais haendi kumuamrisha jaji cha kufanya maana uko ndio kuingilia mahakama,Rais anamuamuru Tu DPP kufuta kesi,kumbuka kwa uamsho alivyowatoa...Lissu ni akili kubwa sana kueleweka na narrow brained people.
 
DPP ana power ya Ku withdraw case yoyote at any time..Sasa jiulize nani anae mfuga DPP?Ukipata jibu ndo utajua kwanini Lisu anamuomba Rais na wala si kuingilia Uhuru wa Mahakama
 
Mtoa mada, ametafakari kwa kuangalia maslahi ya Tumbo badala ya maslahi ya Taifa .Ninani mwenye akili timamu atasema Wale wabunge wapo pale wapo kihalari? Ni yule mwenye akili ndogo mfano wa sisimizi tu!!
Kama mleta mada akili yake ina leakage sehemu
 
Huyo ni mfagizi pale lumumba
 
Huyu Lissu ni msaliti wa nchi,hivi,anamwambia Rais kuhusu wabunge 19 na kesi ya Mbowe,kwani hajui kuwa hiyo ni mihimili inayojitegemea? Huyu ndo anataka urais kweli?🚮
 
Unataka hiyo mihimili iingiliwe mara ngapi wakati tayari Magufuli alishawateulia watanzania wabunge bila hata uchaguzi kufanyika.

Unataka mahakama iingiliwe mara ngapi wakati vyesi vyote vinavyohusu Chadema ni amri toka ikulu na kwa hilo tulishuhudia alichofanyiwa Lema kipindi kile Sugu na sasa Mbowe.

Kama hatuwezi kupata katiba mpya na kuachana na hii ya ccm basi afadhali mapinduzi yafanyike tu kama yanavyofanyika katika nchi zingine zenye tawala za hovyo kama ilivyo kwetu.
 
Contradiction! Nini maana ya Dikteta? Dikteta huwa hashawishi.
 
Wewe guberi mchawi ulipata lini uchawi wee kijana mdogo? Au ulirithi kwa babu yako lile jini la chato!?
 
Mimi nilichoelewa,Lissu HAKUMTAKA Mama aingilie kesi ya Mbowe bali ALIMUOMBA Mama aingilie kati kesi hiyo.Kwa sababu kwa nchi maskini zisizofuata Sheria kama nchi yetu hawezi kumshinikiza Rais kufanya anavyotaka.
 
Samia mbona amefuta kesi za Tundu Lissu za kumuita Magufuli DIKTETA UCHWARA? hapo nae alikuwa anafanya udikteta? kwa nini hukumuambia?
 
Mkuu umeshikwa pabaya?
 
sema kimeumana mazima
muda mwengne tuache ushabiki maandazi kwenye mambo ya siasa watawala nak ni binadamu pi wana hisia
 
Hili suala la kuomba kufutiwa kesi mara tunasikia Mbowe mwenyewe ndio anakataa mara akina Lema na Lissu ndio walikuwa wanalikataa,maana Zitto alifanya jambo kama hili ila ikatafsirika tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…