Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama swala lipo mahakamani kwanini mahakama isiachwe ifanye kazi yake.Wee uliyepata ukiwete kwa kupigwa na stroke Lissu hajaingilia uhuru wa mahakama,kwa kuongea na rais kuhusu kesi ya Mbowe iliopo mahakamani,kwa kuwa serekali ndio wenye kesi hiyo,kwa hiyo wanamamlaka ya kuiondoa mahakamani kama Walivyoipeleka.
DPP aliona kuna kesi ya kuipeleka mahakamani ndio maana kafanya vile.Rais kufuta kesi sio kuingilia uhuru wa mahakama maana alieshtaki ni DPP ambae ni mteule wa Rais.
Rais haendi kumuamrisha jaji cha kufanya maana uko ndio kuingilia mahakama,Rais anamuamuru Tu DPP kufuta kesi,kumbuka kwa uamsho alivyowatoa...Lissu ni akili kubwa sana kueleweka na narrow brained people.
wewe jamaa fala sanaLisu hakuzungumza na DPP kazungumza na Rais.
UPUUZI muhimili gani unaoingiliwa hapo? Elimu Elimu Elimu!Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge hao ni wa chama cha upinzani ambao Rais hana mamlaka nao kwani yeye anatoka chama kingine.
Lissu anataka Rais Samia avunje Ibara ya 107A na 107B ya katiba kwa kuingilia uhuru wa mahakama pale alipomtaka Rais kufuta kesi ya Mbowe.
Kwa kufanya hivyo Rais atakuwa ameingilia Mhimili wa Mahakama ambao upo katika mchakato wa kutoa maamuzi kuhusiana na suala la Mbowe.
Inasikitisha mno kwamba Lissu kama kiongozi wa Chama Cha Upinzani anahimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi tena akiwa mtaalam wa sheria.
Lissu anafanya yote haya akiwa hana mamlaka.
Je akiyapata? Nina imani kabisa kabisa kwamba endapo mtu kama huyu akipewa mamlaka tutashuhudia uvunjifu mkubwa wa katika kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.
Ni hitimishe kwa kusema kwamba Lissu ametukosea sana watanzania kwa kuweka pembeni taaluma yake ya sheria kwa kuhimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Watu wa aina hii hawapaswi kuaminiwa kupewa mamlaka ya nchi.
Kama alivyoona kwenye ile ya mashehe eti eeh!DPP aliona kuna kesi ya kuipeleka mahakamani ndio maana kafanya vile.
Ila sasa kumshawishi Rais amuamuru DPP aondoe kesi ambayo huko ni kuingilia mamlaka ya DPP na mahakama ambayo inaendelea kuisikiliza hiyo kesi.
Kama ni hivyo basi tunakie na Rais tuachane na kuwa na mihimili kama Bunge na Mahakama maana Rais ndio kila kitu.
Lissu ni kiongozi wa upinzani ambaye tangu 2017 amekuwa akiishi nje ya nchi, hana nguvu ya kimamlaka au kitaasisi ya kuweza kuingilia utendaji wa SSH.Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge hao ni wa chama cha upinzani ambao Rais hana mamlaka nao kwani yeye anatoka chama kingine.
Lissu anataka Rais Samia avunje Ibara ya 107A na 107B ya katiba kwa kuingilia uhuru wa mahakama pale alipomtaka Rais kufuta kesi ya Mbowe.
Kwa kufanya hivyo Rais atakuwa ameingilia Mhimili wa Mahakama ambao upo katika mchakato wa kutoa maamuzi kuhusiana na suala la Mbowe.
Inasikitisha mno kwamba Lissu kama kiongozi wa Chama Cha Upinzani anahimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi tena akiwa mtaalam wa sheria.
Lissu anafanya yote haya akiwa hana mamlaka.
Je akiyapata? Nina imani kabisa kabisa kwamba endapo mtu kama huyu akipewa mamlaka tutashuhudia uvunjifu mkubwa wa katika kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.
Ni hitimishe kwa kusema kwamba Lissu ametukosea sana watanzania kwa kuweka pembeni taaluma yake ya sheria kwa kuhimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Watu wa aina hii hawapaswi kuaminiwa kupewa mamlaka ya nchi.
Mwenye kuipeleka kesi mahakamani ndiye mwenye kesi na ndiye anayeweza kuiondoa kwa mjibu wa sheria.Kama swala lipo mahakamani kwanini mahakama isiachwe ifanye kazi yake.
Na vipi kuhusiana na kuwaondoa bungeni wabunge wa chama ambacho yeye hahusiki nacho ?
Wewe unaona ni sahihi??
Mojawapo ya andiko la ajabu kabisaLissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge hao ni wa chama cha upinzani ambao Rais hana mamlaka nao kwani yeye anatoka chama kingine.
Lissu anataka Rais Samia avunje Ibara ya 107A na 107B ya katiba kwa kuingilia uhuru wa mahakama pale alipomtaka Rais kufuta kesi ya Mbowe.
Kwa kufanya hivyo Rais atakuwa ameingilia Mhimili wa Mahakama ambao upo katika mchakato wa kutoa maamuzi kuhusiana na suala la Mbowe.
Inasikitisha mno kwamba Lissu kama kiongozi wa Chama Cha Upinzani anahimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi tena akiwa mtaalam wa sheria.
Lissu anafanya yote haya akiwa hana mamlaka.
Je akiyapata? Nina imani kabisa kabisa kwamba endapo mtu kama huyu akipewa mamlaka tutashuhudia uvunjifu mkubwa wa katika kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.
Ni hitimishe kwa kusema kwamba Lissu ametukosea sana watanzania kwa kuweka pembeni taaluma yake ya sheria kwa kuhimiza matendo ya uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Watu wa aina hii hawapaswi kuaminiwa kupewa mamlaka ya nchi.
Mtoa mada anafahamu sheria kuliko LissuRais kufuta kesi sio kuingilia uhuru wa mahakama maana alieshtaki ni DPP ambae ni mteule wa Rais.