Lissu ni Dikteta, anamshawishi Rais Samia kutozingatia Utawala Bora na kuingilia Mihimili mingine

Wee uliyepata ukiwete kwa kupigwa na stroke Lissu hajaingilia uhuru wa mahakama,kwa kuongea na rais kuhusu kesi ya Mbowe iliopo mahakamani,kwa kuwa serekali ndio wenye kesi hiyo,kwa hiyo wanamamlaka ya kuiondoa mahakamani kama Walivyoipeleka.
 
Kama swala lipo mahakamani kwanini mahakama isiachwe ifanye kazi yake.

Na vipi kuhusiana na kuwaondoa bungeni wabunge wa chama ambacho yeye hahusiki nacho ?

Wewe unaona ni sahihi??
 
DPP aliona kuna kesi ya kuipeleka mahakamani ndio maana kafanya vile.

Ila sasa kumshawishi Rais amuamuru DPP aondoe kesi ambayo huko ni kuingilia mamlaka ya DPP na mahakama ambayo inaendelea kuisikiliza hiyo kesi.

Kama ni hivyo basi tunakie na Rais tuachane na kuwa na mihimili kama Bunge na Mahakama maana Rais ndio kila kitu.
 
UPUUZI muhimili gani unaoingiliwa hapo? Elimu Elimu Elimu!
 
Kama alivyoona kwenye ile ya mashehe eti eeh!
 
Lissu ni kiongozi wa upinzani ambaye tangu 2017 amekuwa akiishi nje ya nchi, hana nguvu ya kimamlaka au kitaasisi ya kuweza kuingilia utendaji wa SSH.

Kumbuka kuwa SSH na Lissu walisalimia kirafiki tu kama watu wanaofahamiana lakini utendaji kazi wao wa ofisi wanazoziongoza bado upo pale pale ukifuata nidhamu zile zile za siku zote.
 
Rais ilipofuta kesi ya mashekh wa uamsho hajavunja katiba au kuingilia mahakama ????
 
Kama swala lipo mahakamani kwanini mahakama isiachwe ifanye kazi yake.

Na vipi kuhusiana na kuwaondoa bungeni wabunge wa chama ambacho yeye hahusiki nacho ?

Wewe unaona ni sahihi??
Mwenye kuipeleka kesi mahakamani ndiye mwenye kesi na ndiye anayeweza kuiondoa kwa mjibu wa sheria.

Suala la wabunge lilishatolewa ufafanuzi na chama kuwa walishavuliwa uwanachama wa CHADEMA siyo wanachama wa CHADEMA.

bungeni wapo kwa kuendeshwa na pumnzi ya CCM, CCM wakiondoa pumnzi yao watu wanazikwa mchana kweupe.
 
Mojawapo ya andiko la ajabu kabisa
 
Mtoa mada anafahamu sheria kuliko Lissu
 
Ddictator la tanzania limeshakufa na kuoza huko kaburin.
Lilipokuwa likipiga risasi wenzie lilikuwa linajua litatawala milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…