Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti.
Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana anachoogopa, Hana anachoofia!.
Kwa Lissu kupiga Magoti ni usaliti Mkubwa wa Nafsi yake na uwezo wake wa Akili .
Kwake Utajiri wake aloridhika nao ni AKILI YAKE!!.
Mnajisumbua bureeeeee ,mwishoni hukoooo mtalazimika kukubaliana na Matakwa yake !!.