Lissu ni kama Mandela. Watu wa hivi hawaamini katika Mali bali katika kile wanachokipigania

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti.

Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana anachoogopa, Hana anachoofia!.


Kwa Lissu kupiga Magoti ni usaliti Mkubwa wa Nafsi yake na uwezo wake wa Akili .


Kwake Utajiri wake aloridhika nao ni AKILI YAKE!!.


Mnajisumbua bureeeeee ,mwishoni hukoooo mtalazimika kukubaliana na Matakwa yake !!.
 
Kwa mateso aliyopitia huyu kaka angeshawapigia magoti watesi wake lakini amegoma na ana amani na anachokiamini,
Watu kama Lissu ni wachache sana hapa Tanzania,
Tunaomba Mungu aingilie kati hii kesi na awasambaratishe watesi wake, ili huyu Lissu awe huru na apate anachokipigania,
 
bado miaka mingapi ya kukaa jela ili atimize miaka 27, ili awe mandela kamili lakini mtibua minywele kama mwendawazimu?
 
Wanasiasa wa Kiafrica wapo kwaajili ya matumbo yao...

Wana njia nyingi sana ila madaraka ni kwajili ya kunufaisha wao na familia zao binafsi.
 
mandela gani kwanza ana njaa vile hadi anaenda kizimbani huku kabeba kontena la kiporo cha ubwabwa maharagwe?

mandela gani kwanza ana njaa vile hadi anaenda kizimbani huku kabeba kontena la kiporo cha ubwabwa maharagwe?
We jamaa unazingua kiporo cha wali na maharageni kitu cha kukushangaza juu ya harakt au sio chakula cha kuliwa na LISSU yan point ni nn mpka kiporo cha wali na maharage kimekukwaza
 
We jamaa unazingua kiporo cha wali na maharageni kitu cha kukushangaza juu ya harakt au sio chakula cha kuliwa na LISSU yan point ni nn mpka kiporo cha wali na maharage kimekukwaza
kwahiyo ndio mandela huyo, right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…