Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!?
Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu
www.facebook.com
Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu
Tundu Lissu; Mimi Ni yanga | By Kelvin J. NyamugaFacebook
Tundu Lissu; Mimi Ni yanga