kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Lissu 2020 baada ya kushindwa uchaguzi na Magufuli aliwatukana na kuwadharau wananchi baada ya kumpuuza alipowaita watoke barabarani akawambia ni wapumbavu sana wasiojielewa akiwa nchini ubelgiji,Lissu aliporudi akaja na operation zake nyingi lakini ukiangalia zilikuwa nje ya chama mwenyekiti kama akazi-crash fulani akaamua kudhira na kusema hovyo kuwa mwenyekiti ni lege lege hata uchaguzi wa chadema umejaa rushwa ya mama abduli ghafla akampigia kampeni msigwa na akasusa helkopta kufanya operation na kiongozi wake akimuacha mbowe nablema wakizunguuka nchi nzima,
Mtu mwenye roho mbaya na visasi baada ya kushindwa na Magufuli kushindwa na Dp world kushindwa na wananchi kushindwa na Samia wote amemaliza kuwatukana na kuwatweza utu wao amegeukia Chama chake na mwenyekiti wake msiri wake anamwaga kila kitu hadharani baada ya hapa mtu huyu ataigekia familia na wafadhili wake lissu si mwenzetu lissu hafai hata kuwa mfagia ofisi ana majungu muongo na mfitinishaji sana!
Mwisho wake umefika akapumzike maana anakuwaje mgomea uraisi nae sio mtanzania au uraia pacha unatambulika!