Lissu ni yule yule akikosa matamanio yake huwa anawageuka walio karibu yake

Lissu ni yule yule akikosa matamanio yake huwa anawageuka walio karibu yake

Poleni sana chawa wa mwenyekiti. Naona jamaa anawakosesha usingizi kabisa. Mjifunze kuheshimu wakati. Wakati ni Ukuta..........
Wanafiki lissu kishawaita mara kibao muandamane kuitoa CCM hamkutoka wala kusogea majumbani leo mnajitia mpo pamoja na lissu!
 
Nimekua nikumu admire the late Oscar Kambona, Kisha Dr. Wilbroad Slaa, ila kwa sasa katika Historia ya Tanzania hakuna Mpinzani Machachari, mwenye hoja, mwenye akili, mwenye Misimamo kama Tundu A. Lissu, anasimama Kileleni kama Best opposition Leader we ever had.
Mungu ambariki TAL.
Amewaita september 23 wala hukumjali na ukampuuza unaleta blah blah nyingi hapa!
 
Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imenyesha kijijini hapo maeneo ya bondeni na kuleta madhara makubwa kwa jamii na uharibifu wa mali na miundombinu ya barabara na umeme. Kutokana na tukio hilo, hadi sasa jeshi la polisi linawashikilia watu 9 wakiwemo raia 2 wa kigeni ambao uraia wa nchi wanazotoka hakuweza kutambulika mara moja kutokana na kutokuwa na hati za kusafiria.
Kwa taarifa zaidi juu ya tukio hili zitakujia hivi punde.
Haya umemaliza michezo kakojoe ulale!
 
Back
Top Bottom