Lissu: Nilikaribia kuvuliwa suruali na Mashabiki wa Simba mwaka 1993

Hivi bado hawaamini??.tutawavua suruali na wao..
Hakuna asiye amini ila CAFCC timu ya kwanza kufika final Tz ni Yanga,sasa nyie hamtaki kukubali,CAFCC ilianzishwa 2004 ila mkiambiwa mnaleta mpaka notes kibao......hili kombe linaitwa CAFCC nyie mlicheza Winner's cup vitu viwili tofauti kabisa
 
Kula chuma hikoo
 
Tofauti kabisa ?? Kwani wengine walicheza netball halafu wengine football? Sababu hasa ya jina Wewe unaita tofauti kabisa... mnajiita bingwa WA kihistoria wa ligi na kuhesabu sijui mara 28 lakini je hii ligi yetu tangu kuanzishwa kwake ilikuwa Sawa na sasa?
 
Naona una muda mwingi wa kupoteza kuwaelimisha hao mazuzu wa usukuleni.
 
Hakuna asiye amini ila CAFCC timu ya kwanza kufika final Tz ni Yanga,sasa nyie hamtaki kukubali,CAFCC ilianzishwa 2004 ila mkiambiwa mnaleta mpaka notes kibao......hili kombe linaitwa CAFCC nyie mlicheza Winner's cup vitu viwili tofauti kabisa
1993 nafikiri Wengi hapa jf walikuwa hawajazaliwa au hawajafikisha miaka 5 na hawapendi kujisumbua kuangalia historia iliyowazi.
1993 simba alifika fainali inaitwa caf cup ( washiriki ni washindi wa pili wa ligi ), wakati mwaka huo huo kulikuwa na kombe la washindi ( winners cup ) [ washiriki ni washindi wa makombe ya mtoano ya nchi husika (fa) na kombe la klabu bingwa.
Halafu kuna Mechi ya super cup inachezwa Kati ya mabingwa wa klabu bingwa na kombe la washindi , bingwa wa caf cup hakushiriki.
Cafcc washiriki ni washindi wa makombe ya mtoano ya nchi husika (fa) na waliotolewa klabu Bingwa na alama za juu .
 
Tunawaangalia tu, wakitaka hata video za mechi yenyewe tutawapa. Yanga iko nyuma ya Simba kwa miaka 30. Mafanikio ya sasa ya Simba, Yanga itakuja kuyapata miaka 30 ijayo.
Waambie maana wanajitoa sana fahamu
 
Back
Top Bottom