Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Nadhani itabidi nirudi hapa nipambane na vilaza kama huyo hapo 'digba'.
Huyu hata darasani alikuwa mbuzi kabisa, na leo ndio wanaoendesha nchi na kuitummbukiza shimoni. Ndiyo maana hajui maana ya kuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa uelewa wa mambo.

Ili Tanzania irudi kwenye misingi yake, ni lazima tuheshimu elimu za watu na uwezo unaotokana na elimu waliyonayo.

Nchi imekuwa ya hovyo hovyo, kwa sababu ya watu kama huyu hapa 'digba' wanaoshiba kwa vile tu wapo ndani ya chama. Uwezo wa kufanya jambo lolote la maana hawana.
 
Nasikia maza alikuwa anapata masikio
 
Mkuu funguka plz plz
ngoja nitaanda makala ya huu mwamba unajua tunawadogo zetu wameaza kumsikia akiwa bungeni ndo shida

Huyu ndiye alikua wakili kwenye kesi iliyokua inamtuhumu jakob Zuma ya ubakaji alifanya mambo mahakama za pale South kilichotokea siri yao (ule msemo wake tutakutana kwenye Cross examination unamana yake ili ufanikishe au pindua meza lazima uwe genius)


2012 kama sijakosea Zuma alitua bongo akiwa kwenye shughuli zake bana, akampia cm mwamba Zuma akajibiwa uje kijijini kwangu jimboni kwangu, mtoto Wa mjini mzee kikwete alibembeleza Lisu ujebana aligoma ikabidi Zuma aende kimya kimya hadi ikungi huko


Mwamba kweli alibaniwa udsm mana angewavura haswa,Jiulize kule Lisu kule hayati baregu!
 
Mkuu ufanye kweli plz
 


Inaonekana huyo Lissu naye alipitia mikononi mwako, hongera sana teacher.
 
Mwalimu wake Dr Masumbuko Lamwai umemsahau? Hadi tunapoongea sasa hivi hakuna NGULI wa sheria wa kumfikia Dr Masumbuko hapa Tanzania. On hii: "
DR.MASUMBUKO LAMWAI (PhD) KWA KIFUPI.
1. Ndiye mtanzania wa kwanza kutunukiwa Shahada ya udaktari wa Falsafa katika sheria (Criminal and Procedural Law - LLD) Chuo Kikuu Oxford, moja ya vyuo vinavyoheshimika sana duniani.
2. Ndiye mwanafunzi wa kwanza kutoka Afrika kusoma kozi ya miaka minne kwa miaka miwili chuoni hapo. PhD in Criminal &Procedural Law (Oxford) ni miaka minne (full time) na miaka 6 hadi 8 (part time). Lakini Lamwai aliomba kusoma miaka miwili na akahitimu.
3. Mwanzoni mwa miaka ya 1990 akiwa Mhadhiri UDSM alishirikiana na wanaharakati wenzie kuanzisha vuguvugu la kudai mfumo wa vyama vingi. 7. Yeye na Mabere Marando wakiwa bungeni waligomea kiapo cha Utii kwa Rais, kwahoja kuwa wabunge hawapaswi kumtii Rais kwa sababu bunge ni mhimili unaojitegemea. Baada ya mabishano makali ya kisheria, Spika Msekwa alikubaliana na hoja yao. Kiapo cha wabunge kikafanyiwa marekebisho na kuondoa sehemu ya "utii kwa Rais" kisha wabunge wote wakaapa upya.
8. Mwaka 1996 aliongoza kesi maarufu ya uchaguzi iliyomvua ubunge aliyekua Mbunge wa Temeke, Ramadhani Kihiyo kutokana na kughushi taarifa za elimu yake. Mbali na kesi hiyo ameshiriki pia kusimamia kesi mbalimbali nje na ndani ya nchi. Mwaka 2006 alishiriki kuandaa muongozo wa Haki za binadamu kwa nchi za jumuiya ya madola.
 
Inaonekana wewe hukuwa best student kwenye ualimu wako
 
Uhaba wa bajeti upo mpaka kipindi cha Magufuli amekuja kwa kuweka jiwe la msingi la Hostel,Prof.Mukandala anamwambia anaomba waongeze bajeti ya kuajiri vijana wapya, kusomesha nguvu kazi mpya,maprofesa wengi washazeeka na wengi wamestaafu hii inapelekea kuwa na uhaba wa wanazuoni.

Kuna kipindi chuo ilikuwa haiajiri hao best students/lecturers!

Hapo Magufuli akimtania kidogo prof. Mukandala,prof.huzeeki mimi nimekuja chuoni nimekukuta upo unafundisha,naondoka nimekuacha unafundisha,mpaka sasa mimi nimetoka na kipara hichi[emoji2][emoji2] prof...bado uko fit huzeeki!
 
yaani mwanaume mzima unakuja kulia Lia hapa eti anazuia misaada kutoka Kwa mabeberu nyie CCM kuweni na akili basi jinga Kabisa misaada hiyo mtakuja geuzwa nyuma kwanini tusitumie rasilimali tulizonazo kujiendesha ?
Viongozi Hela za kujilipa posho na mishahara minono wanazo ila za maendeleo wanakopa
Shame shame shame!
 
Utapateje msaada kutoka kwa beberu kwani si lazima nae atataka fadhila?
 
Mzee hii makala ikiwa tayari usisahau kunitag mkuu, tafadhali.
 
Kutokana na michango ya wadau humu nimeona wengi wape,
Tundu .A. Lissu ni jembe kweli kweli

Vilaza, wenye wivu na roho mbaya Toka pale Lumumba wanateseka kweli wakisikia jina la huyu Mwamba
Wanakuja na vioja na visababu uchwara kumchafua huko wakisahau huwezi kwepa ngumi ya uso Kwa kufumba macho!

Viva Lissu!
 
ccm wanajua huyu jamaa ni genius hatari ndo maana kila siku hawalali kwa ajili yake hadi kutamani kumpoteza kwenye hii sayari
 
Hakujipanga mbona vyuo viko kibao.Angeweza tokea chuo chochote kufikia uproffesor hakuwa na plan B kufikia lengo Lake la kuwa professor. akili yake haina focus inayumba yumba tu kama nyasi zinazopigwa na upepo

Ndio ajue Mungu ndie hupanga yeye best student sio raisi

Raisi tulie naye hajawahi kuwa best student popote Lisu na u best student wake out
 
Zipa tundu lako chafu we mbwakoko nani ajipendekeze kwa msengxxxe kama wewe?
Wakuu taratibu.
Mkuu nakuomba ulete uzi kutujuza zaidi kuhusu nguli huyu.
 
Taaluma ya Sheria ina sehemu nyingi sana huwezi Ukawa bingwa Katika nyanja zote kama ilivyo kwenye tasnia nyingine mfano Dr. Bingwa wa macho hawezi kuwa bingwa meno.

Kwa upande wa wakili kazi yake kuu pamoja na mambo mengine ni kuisaidia mahakama kufikia maamuzi ya haki kwa mujibu wa Sheria na siyo kuitawala mahakama au chombo chochote kwa kuonesha umahili wa kubisha au kutukana.

Wakili mzuri ni mwenye kusimamia haki na Sheria mfano mteja akikiri kwamba ni kweli ameua kwa maksudi wakili hapaswi kuishawishi mahakama imuone hakuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…