Lisu sasaivi anahangaika huko ulaya kutafuta sababu ya kuwaambia wazungu wasilete misaada ili Samia akome, anakosa sababu. ndio maana amekuwa kimyaaa, hana hoja na wazungu wakimchoka watamfukuzia Ikungi muda si mrefu.
Umeisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020, iliyowezesha kuunda Serikali iliyoko madarakani? Kama umeisoma, ni jambo lipi linatekelezwa, kwa sasa, lililo nje ya hiyo Ilani?