Mambo mengi Mama anacopy na kupaste kwa Mwamba Tundu Lissu. Anamkubali sana sema basi tu.Leo Mama anatekeleza baadhi ya haya niliyoyasema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengi Mama anacopy na kupaste kwa Mwamba Tundu Lissu. Anamkubali sana sema basi tu.Leo Mama anatekeleza baadhi ya haya niliyoyasema.
Mungu ibariki JFLeo Mama anatekeleza baadhi ya haya niliyoyasema.
Umeisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020, iliyowezesha kuunda Serikali iliyoko madarakani? Kama umeisoma, ni jambo lipi linatekelezwa, kwa sasa, lililo nje ya hiyo Ilani?Leo Mama anatekeleza baadhi ya haya niliyoyasema.
Yaan kweny Ilani ndo walsema watarudisha waliofukuzwa kazin auUmeisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020, iliyowezesha kuunda Serikali iliyoko madarakani? Kama umeisoma, ni jambo lipi linatekelezwa, kwa sasa, lililo nje ya hiyo Ilani?