Lissu: Poleni ila Amini Mahamba niko nae siku nzima kesho

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa.

Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini kumalizwa kusikilizwa

amin mahamba ndiye nani? Leo naona hakuna updtes za proceedings za leo
 
Wakuu,

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa.

Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini kumalizwa kusikilizwa

Hili kundi lote la askari, magereza walioko na Lissu wanalipwa mishahara kutoka kwenye vyanzo gani vya mapato?
 
Back
Top Bottom