Hili kundi lote la askari, magereza walioko na Lissu wanalipwa mishahara kutoka kwenye vyanzo gani vya mapato?Wakuu,
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa.
Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini kumalizwa kusikilizwa
Wanakula posho kila wanapokuja mahakamani hiyo nafasi inagombaniwa ishakuwa deal kuipata kivumbiHili kundi lote la askari, magereza walioko na Lissu wanalipwa mishahara kutoka kwenye vyanzo gani vya mapato?
AmeenBila shaka kuna Wacha Mungu ambao hawachoki kumwombea Lissu Afya njema na Uzima!
Du!Wanakula posho kila wanapokuja mahakamani hiyo nafasi inagombaniwa ishakuwa deal kuipata kivumbi