Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Mmezoea kudanganywa na kuukubali uongo, hamchoki?Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina?Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?Machawa wa Lisu saidieni hili
Matumizi mabaya ya hasiraMara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina?Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?Machawa wa Lisu saidieni hili
Sasa kama hujui mama Abdul ni nani, kwann unamhusianisha na rais?Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?
Hayo maneno machungu yatakusaidia nini?...... 😀Lissu hakuna kurudi nyuma endelea hivyo hivyo mpaka wateme bungo...huu sio muda wa siasa za maneno matamu
"Goli la mama"
Mbona kwenye kusifia watu wanamuita Mama na hakuna mtu aliyewahi kujitokeza kukemea jina hilo na kutaka wamuite kwa Cheo chake cha Mheshimiwa Raisi?a za kusifia na kumuabudu muaji wa raia wasiokua na hatia kwishne
Bahati mbaya sana kuwa haujui heshima kubwa kwa mwanamke ni kumuita kwa jina la mwanae mkubwa au baba yake hasa wasukuma na wanyamwezi akina ngwanashija. Unaposikia mtaani kwako majina ya mamaasha, mamasaidi, mamaabduli si bahati mbaya, huo ni utamaduni.Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?
Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?
Machawa wa Lissu saidieni hili
Umeshasema mtaani mazee,huyo head figure ya nchi yetu,anatakiwa kuwa addressed kama kiongozi mkuu wa nchi,anachofanya Lisu ni dharau tu za waziwazi.Bahati mbaya sana kuwa haujui heshima kubwa kwa mwanamke ni kumuita kwa jina la mwanae mkubwa au baba yake hasa wasukuma na wanyamwezi akina ngwanashija. Unaposikia mtaani kwako majina ya mamaasha, mamasaidi, mamaabduli si bahati mbaya, huo ni utamaduni.