Lissu punguza ukali wa maneno unapoita jina la Rais Samia

Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?

Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?

Machawa wa Lissu saidieni hili
Nadhani Rais wetu angeitwa Mh Hafidh (si ndo mme wake?)
 
Umeshasema mtaani mazee,huyo head figure ya nchi yetu,anatakiwa kuwa addressed kama kiongozi mkuu wa nchi,anachofanya Lisu ni dharau tu za waziwazi.
Sawa unachosema, lakini kumbuka kuwa alikwisha kuambia kuwa yeye ni mke wa mtu na ni mama pia, yaani ni mamaabdul.
 
Kwanini haogope kama kweli anaoushahidi viginevyo ni siasa za maji taka z
 
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?

Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?

Machawa wa Lissu saidieni hili
Mama abdul pia alimpa jina simba wa kufugwa tundu lisu kwahiyo wanajuana hao
 
We mbumbu usfikiri lisu hajui anachokfanya yule n mwanasheria hakurupuki kama majiz ya taifa hli maccm
 
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?

Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?

Machawa wa Lissu saidieni hili

Wanasiasa hayo mambo ni yakawaida
Wanaitana majina ya kila aina
 
Back
Top Bottom