Lissu punguza ukali wa maneno unapoita jina la Rais Samia

Nadhani Rais wetu angeitwa Mh Hafidh (si ndo mme wake?)
 
Umeshasema mtaani mazee,huyo head figure ya nchi yetu,anatakiwa kuwa addressed kama kiongozi mkuu wa nchi,anachofanya Lisu ni dharau tu za waziwazi.
Sawa unachosema, lakini kumbuka kuwa alikwisha kuambia kuwa yeye ni mke wa mtu na ni mama pia, yaani ni mamaabdul.
 
Kwanini haogope kama kweli anaoushahidi viginevyo ni siasa za maji taka z
 
Mama abdul pia alimpa jina simba wa kufugwa tundu lisu kwahiyo wanajuana hao
 
We mbumbu usfikiri lisu hajui anachokfanya yule n mwanasheria hakurupuki kama majiz ya taifa hli maccm
 


Wanasiasa hayo mambo ni yakawaida
Wanaitana majina ya kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…