Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa mpaka September 11, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuja kwa ajili kukamilisha kutoa mjumuisho baada ya Jamhuri kueleza hoja zao kuhusu mapingamizi yaliyowekwa.
Ikumbukwe Lissu katika hoja zao anadai kwamba baadhi ya mashahidi wake ambao aliwataja hawajaandikwa kwenye maelezo ya Hakimu ambayo yameletwa mbele ya Mahakama Kuu.
Kesi hiyo leo imesikilizwa kwa siku ya tatu mfululizo kwenye Mahakama Kuu -Dar es salaam.
-----------
Mwanachama wa Chadema: Kilichoendelea Mahakamani kabla ya Kesi Kuahirishwa
Sasa hoja ni je yanayozungumzwa kwenye hivyo vifungu yanazungumzia confession peke yake?
S. 263(3) of CPA inasema you may say anything that relevant to charge against you and will be written and may be used in evidence at your trial.
Sasa kwenye kifungu hiki kuna admission yoyote?
Kesi ya Dodoli Kapufi mahakama ya kabidhi hairuhusiwi kufanya maamuzi ya maswala ya kisheria 266(6)
Anasoma hapa hiki kifungu....
Anaanza kuelezea hapa kwamba Hakimu alipaswa kuandika maelezo ya Lissu kama yalivyo na sheria imeandika kabisa kuwa inampasa na kumlazimu kuandika maelezo hayo ila mahakama ya kabidhi ilizuia maelezo hayo kuandikwa.
Kwahiyo Waheshimiwa Majaji haya maneno niliotakiwa kusema yalikuwa ushahidi wangu unaopaswa kutumika kwenye mahakama hii.
Wakili Katuga anasema bila kusomewa hayo maelezo Lissu kaathirika vip?Lissu anajibu kuwa maelezo yangu ambayo ni ushahidi hayakuchukuliwa hio ilikuwa kinyume na sheria na kinyume na haki.
Anaendelea hapa anasema twende kwenye mashahidi wangu mtakumbuka mashahidi aliowataja walikuwa Rais, Waziri Mkuu, Makamu Rais.
Ukisema Shahidi yangu Yesu basi atakuuliza nipe anuani yake hiyo ndio gist ya 264 ya CPA.
Sio kusema sitaki kuandika.
Presidential affairs Act imesemwa jana na imerudiwa leo hii mahakama hii imeambiwa kuwa hawa wana kinga za kupewa summons za mahakama kuja kitoa ushahidi mahakamani.
Mmesomewa kifungu cha 10 jana kilitajwa cha 9 leo wamerekebisha.
Anasoma kifungu cha 10 cha Presidential Affairs Act. .....
Kwahiyo Rais hawezi pelekewa Summons ya Mahakama kwa maneno hayo niliyosema.
Sheria inasema unatakiwa umuone Katibu Mkuu Kiongozi au Katibu wa Rais au Katibu Mkuu baada ya kuombwa na mahakama wa kuomba msaada wa kumserve Rais huyo Katibu wa Rais au Katibu Mkuu kiongozi watatoa utaratibu.
Sasa haya ndio yanayotoa zuio? Au wanasoma sheria kwa namna gani?
Walisema kifungu hiki kinawahusu Waziri Mkuu na Makamu wa Rais sasa katika kifungu hiki wapi wamesemwa hawa aliowataja Mrema leo?
Sasa Mheshimiwa Jaji kuna kitu hakisemwi naomba nikiseme mimi.
Sect. 9 ya sheria hiyo ya Sasa. Presidential Affairs Act.
Kinasema immunity of Arrest au kumlazimisha aje mahakamani.
Sasa mimi nimeomba Rais akamatwe? Hakuna nilipoomba.
Kifungu cha 9 kinasema kama yupo mtu atahitaji Rais awe shahidi Mahakama itamnotify Rais kuhusu nia ya mtu huyo.
The court is required to notified the President. Ana kinga ya kutokushitakiwa tu na sio kinga ya kuja kutoa ushahidi.
Mahakama inapaswa kumpelekea Katibu Mkuu kiongozi au katibu wa Rais na hao wanapaswa kuisaidia mahakama kumfikishia Rais sio kwa mujibu wa sheria kuwa jambo hilo limekatazwa. Sio kweli.
Hiyo hoja ni ya bure.
Naomba sasa nijielekeze kwenda kusoma haya maamuzi waliyonipa ili tuweze kurudi kesho nije kujibu kuhusu hayo.
Jaji anasema Katuga unasemaje.
Katuga anajibu kuwa mimi sina shida. Akasomeee tukutane kesho.
Majaji wanateta hapa kidogo.
Wanaandika wakiwa wameinama chini. Tusubiri maelekezo. Kuna dalili tutakutana kesho hapa.
Jaji anasema kutokana hakuna pingamizi lolote tunaahirisha shauri hili saa tatu asubuhi kesho tutakuja kukusikiliza umalizie
Shauri limeahirishwa hadi kesho asubuhi saa tatu.