Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

LIWALOOOO NA LIWEEEE!!
 
Wabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] hapendwi mtu kama maisha magumu
 
Hivi bunge Mbona kama lilikatishwa gafla au muda wake uliisha?!

Tusubiri bunge la budget mwezi April
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…